Tajiri mfupi amuunga mkono mwaipaja uenyekiti uvccm taifa

JUMA BOAZ MWAIPAJA

New Member
Dec 2, 2017
4
45
*NIME'STUKA UVCCM 2017*

Msanii na Muigizaji mkubwa wa Bongo Movie Maarufu kama *TAJIRI MFUPI AMESHTUKA, NA SASA AMUUNGA MKONO JUMA BOAZ MWAIPAJA MWENYEKITI UVCCM TAIFA 2017-2022*

Msanii Tajiri Mfupi amewaomba Wajumbe Wote wa Mkutano mkuu UVCCM Taifa kuungana na kumpigia kura *Juma Boaz Mwaipaja* ili kuleta mabadiliko ya kweli kwa kuifanya UVCCM kuwa jeuri ya Chama na Fahari ya vijana.

*UVCCM inapaswa kuwa jeshi kubwa lenye sauti ya ushawishi kwa vijana wote wa Tanzania.*

"Kwa UVCCM ya namna hii mimi Tajiri Mfupi naona *JUMA BOAZ MWAIPAJA* anatufaa sana. Chonde chonde naomba kura zote kwake."*#VijanaNguvuMoja*
 
balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
5,276
2,000
Hivi huwa kuna tofauti kweli kati ya Sana'a na siasa?
Hvi siasa zote ni Sanaa au sanaa zote ni siasa?
Wasanii hawajielewi kwenye hizi siasa.
Wapo wanaokupenda ambayo hawamo kwenye hayo makitu unayopromote leo.
Acheni siasa iwe siasa na sio siasa za wasanii. Wasanii hawaaminiki kama wanasiasa wasivyoaminika.
Foolish boy!!!
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,561
2,000
*NIME'STUKA UVCCM 2017*

Msanii na Muigizaji mkubwa wa Bongo Movie Maarufu kama *TAJIRI MFUPI AMESHTUKA, NA SASA AMUUNGA MKONO JUMA BOAZ MWAIPAJA MWENYEKITI UVCCM TAIFA 2017-2022*

Msanii Tajiri Mfupi amewaomba Wajumbe Wote wa Mkutano mkuu UVCCM Taifa kuungana na kumpigia kura *Juma Boaz Mwaipaja* ili kuleta mabadiliko ya kweli kwa kuifanya UVCCM kuwa jeuri ya Chama na Fahari ya vijana.

*UVCCM inapaswa kuwa jeshi kubwa lenye sauti ya ushawishi kwa vijana wote wa Tanzania.*

"Kwa UVCCM ya namna hii mimi Tajiri Mfupi naona *JUMA BOAZ MWAIPAJA* anatufaa sana. Chonde chonde naomba kura zote kwake."*#VijanaNguvuMoja*
Hii aina ya Promo uliyoipiga hapa inaonyesha jinsi ulivyo mtupu kichwani,
Hii ndio aina ya Vijana waliopo Lumumba
 
JUMA BOAZ MWAIPAJA

New Member
Dec 2, 2017
4
45
Mwenyekiti UVCCM TAIFA anajukumu la kuwaunganisha vijana wa makundi mbalimbali wakiwemo wasanii. Binafsi nimefurahishwa na vijana wa makundi yote wanavyoniunga mkono. Nawahakikishia nitawaunganisha vijana!
 
Kalesya

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
688
1,000
Sikuwahi kudhani kuwa kuna mtu anakuwa na jina la Kinyakyusa na bado akawa mpumbavu kiasi hiki!!

Siku zote hukuona kama JF ni muhimu mpaka wakati huu wa kugombea nafasi za wizi??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom