Taja wachezaji walioondoka na kurudi tena kwenye timu zao za zamani

3llyEmma

JF-Expert Member
Oct 23, 2017
6,172
6,882
Mdau wa football...

Katika maisha ya soka kuna wachezaji waliocheza timu moja mara 2..
Yaani akauzwa, au mkataba wake ukaisha akaondoka then akarudi tena kwenye klabu yake ya zamani na maisha yakaendelea.
Mimi naanza na hawa ninao'wakumbuka :--
Wayne ROONEY >> Everton
Santiago CARZOLA >> Villareal
Ibrahim AJIBU >> Simba
Paul POGBA >> Man utd.

Twende kazi...
 
Khalfan Mrisho Ngassa kurudi Yanga,
Okwi Emmanuel Arnold ashawahi kutoka Simba akarudi baadae,
Fernando Torres alirudi Spain timu aliyotokea
 
Khalfan Mrisho Ngassa kurudi Yanga,
Okwi Emmanuel Arnold ashawahi kutoka Simba akarudi baadae,
Fernando Torres alirudi Spain timu aliyotokea
Torres kurudi Atletico madrid.. kweli mkuu
 
Kaseja Simba-Yanga, Yanga-Simba.
Deo Munishi Simba-Yanga, Yanga-Simba.
Okwi Simba-Yanga, Yanga-Simba.
Said Mwamba Kizota Yanga-Simba, Simba-Yanga.
 
Back
Top Bottom