Taja vigogo wa Mkapa waliomtosa kikwete. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taja vigogo wa Mkapa waliomtosa kikwete.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zhu, Jan 20, 2011.

 1. Z

  Zhu Senior Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf kuna jambo nimelifikiria sana la team ya mkapa kuto onekana katika kipindi hiki cha kikwete. Wengi wakiongea serikali inakosa majibu. Hebu tujikumbushe ile team. Mangula, kigoda, Magufuli, nk. Kama unajua zaidi tupe halafu tujadili kwa nini wako kimya?
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Acheni kumwonea mzee mkapa. vigogo gani waliomtosa kikwete. Walimtosa kwa mambo gani, kama siyo usanii tu. Wanamtandao wa kikwete ndio waliochafua hata rekodi nzuri ya mzee mkapa wakati wakitafuta hela za kampeni. Walijua kikwete hauziki kwani hakuwa na rekodi yoyote ya utendaji iliyotukuka zaidi ya kuwadanganya wananchi kuwa eti ni kijana wakati ni kizee tu. Kikwete ni msanii na anaendelea kuwa msanii siku zote.a
   
 3. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Ndiyo!.. Mkuu mi naona sometime watz twageuzwa mabwege..yaan Ccm wanageuza akili zetu jinsi watakavyo..ili kuhalalisha credibility ya mkwere,its true 2005 walikwiba mno,na ni hao wanamtandao usemao..pia mimi logic nyingine nayoona ni undondocha,eti ooh rais kijana,!,usanii mtupu..Joka la mdimu...mtu gani full kujichekesha? Na anabahati alimwoa salma wa pwani mwenzie,angekutana na mwanamama wa shoka kudadeki angezoa mpaka kimba..uone wasivyona aibu,walipooona sera ya ujana haina mashiko wanakuja na fiksi ooh panga la zamani makali yaleyale..ebwana eeh,
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nakumbuka mkwere aliposhinda akasema "Kura safari ile hazikutimia ila safari hii zimetimia" inaonekana alikuwa na usongo wa hali ya juu wa Urais na ndio maana mzee kifimbo alipomkatalia kipindi kile kumbe alikuwa ameona mbali sana maana leo madudu yaliyofanywa ni mengi mno hauwezi elezea laiti kama mzee wa watu akizinduka huko alipo nafikiri anaweza kufa tena kwa mara ya pili kwa hali iliyopo sasa hivi na jinsi nchi inavyokwenda
   
 5. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Hapo ndipo huwa naona unabii wa Mwl..kwajinsi upepo ulivyokuwa miaka ile,alijua msanii mkwere aketukaanga watz.. Au pengine mzee angelikuwa hai,hata 2005 msanii huyu angeishia kunawa..
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kikweti is not my President! My President never rule the way he rule!
   
Loading...