Taja ulivyowahi na usivyowahi kuvifanya maishani... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taja ulivyowahi na usivyowahi kuvifanya maishani...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Boflo, Sep 7, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nisivyowahi [HR][/HR] 1. I've never broken a bone
  2. I've never been in relation of same sex

  Nilivyowahi:-
  1 I've climbed a mount Kilimanjaro
  2 I've shot a gun
  3 I've used an Apple product
  4. I've been abroad
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Nimewahi kula, kunywa na kulala

  Sijawahi kudedi
   
 3. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kufanya mchezo mbaya je?
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Huo nimefanya wa kinguo nguo tu
  Wizi wa maungoni sijafanya

   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Sijawahi kunywa pombe.
   
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Tunakoelekea tunadanganyana sasa.
   
 7. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,363
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  c'mon say something Madame B
   
 8. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Arushaone,
  Niliyowahi kufanya; Kukutana kimwili na Mwanaume na kisha kumpiga Kibuti.

  Nisiyowahi kufanya;
  Kuvaa nguo ndefu kwani najua zitaniwashwa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Sijawahi kunyeshewa na mvua
   
 10. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,895
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  Kusema ukweli mpaka age hii Sijawahi kufanya yafuatayo.
  1-Sijawahi kukanyaga kituo cha police. (Ashukuriwe mungu)
  2-Sijawahi kunywa pombe wala kuvuta chochote.
  3-Sijawahi kupanda ndege.
  4-Sijawahi kuwa na girlfriend tofauti na mchagga sijui ni mkosi au nini. Kila nilipojaribu kufurukuta niliangukia kwa Mushi, Kessy, Mrema, Urio na sasa . . . . Duh!
  5-Sijawahi kupitisha siku bila kutia maguu JF.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha haaah!! sasa huamini??
  Ndio ukweli huo Madame B....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Nimerudi tena.....
  Nimewahi kuwa na mpenzi mmoja tu, bahati nzuri ndio nipo kwenye mchakato wa kumuoa na sijawahi kumcheat.

  Sijawahi panda chombo chochote kinachosafiri majini na sidhani kama itakuja kutokea.
  Sijawahi na sijui kuendesha baiskeli.
  Sijawahi kula kande......
   
 13. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Utakuwa shabiki wa chama flani hv cha Siasa kinachopendwa na Wachagga.
   
 14. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Na bora usiiguse mwaya,
  Maana tunavyoranduka,acha tu...!!!
  Unaenda Bar saa 2 usiku mpaka saa 9 ndio unaenda kulala.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,895
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha hah yaani najuliza why inatokea hii lakini majibu sina dah.
   
 16. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Come kwe2 huku tukutafutie wengine.
   
 17. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,895
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  Kwenu wapi isije ikawa ukuryani huko siji hata kwa kuwekewa mtutu wa bunduki.
   
 18. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Waja Leo waondoka Kesho,Tanga.
   
 19. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nimeshawahi kua mimba ya mama yangu!

  Sijawahi kua marehemu !
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha haaah!! watu mna mbwembwe...
   
Loading...