Taja sheria moja ya gari ya polisi aina ya Defender

Halizingatii sheria yoyote ya usalama barabarani!!! Hata kama kuna barabara mbili, lenyewe linapita mnakokwenda ndiko linako tokea, na ole wako, uchelewe kuwapisha!! Wewe ndio unaonekana umekosea!!!
 
Halina rafiki hata uwe mwema likitokea huko speed likisimama mbele yako lazima utajisachi kimoyomoyo isije ikawa ulisahau kulipa mgahawani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom