Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

TOP
1-The Last Ship
2-Strike Back
3-Jack Ryan

NYONGEZA
Into the badland
Condor
Six
Seal team
Falling Skies
Breaking Bad
Krypton
Brave
Athena: Goddes of War
Titans(bado haijaisha)
Shooter
Taken
Nikita

Soon naanza G.O.T kuanzia Season 1 mpaka 8 nitaleta mrejesho

PLANNED (ni suala la muda tu. Internet ya ofisi itasimamia show)
Lost
Prison Break
Blindspot
24
Vikings

Mkuu hivi ni series gani inayofanana na Into The Badlands aisee. Coz mi sipendi maongezi meeengi napenda matukio mwanzo mwisho.

Hebu nitajie moja ambayo siwezi ku-forward kiongozi. Natanguliza shukran zangu kwako.

Thanks In Advance.
 
Screenshot_20190814-182741.png

Nafkiri hiyo 24 ya kwanza kushoto ndio ya kuanza nayo. Thanks.
 
Mkuu hivi ni series gani inayofanana na Into The Badlands aisee. Coz mi sipendi maongezi meeengi napenda matukio mwanzo mwisho.

Hebu nitajie moja ambayo siwezi ku-forward kiongozi. Natanguliza shukran zangu kwako.

Thanks In Advance.
Unamuuliza nini huyo mpuuzi tu alisababisha nika download iyo
Jack Ryan series ya kisenge tu nimemaliza MB's

Mi napenda series ihusishe secret services na magaidi wa middle east, nilivoona huyo boya kaiweka namba tatu nikaangalia trailer yake iko vizuri nikadownload mashudu.
 
Naona ndio mana ameshindwa hata kutoa jibu mkuu. Hahahah.

Mkuu KIOO kanishauri nianze na 24 ila nimeangalia S1E1 naona kama haijanivutia au huko mbele itakuwa fresh mkuu...?
 
Hahaha true
Dah wewe ni mzee wa TVT. Enzi hizo..sikuianza wala sikuimaliza ila nimeitafuta mpaka leo sijaipata. Nawashangaa watoto siku hizi wanaangalia series za kikorea zilizotafsiriwa wanajazana sebuleni wakati hazina hata mvuto. Kulikua na Timeless, The Long wait, It might be you, Maging sino ka man yani kusoma hapo hakuna. Nowdays Philiphines movies na series zimenitoka nimebaki na wamarekani. I wish watoto wangezaliwa kipindi hicho sio leo sijui wanaangalia Sultan mtu anagandishwa robo saa dah wamekosa vingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom