Taja sehemu ya utotoni usiyoisahau

Jamaa alituarika kwenda kula miwa ys Bibi yake. Kumbe sio lao ametuzuga. Jamaa alipokuja anauliza

Jamaa " mnafanya mini huko nyie watoto".
Sisi " ni sisi Bibi".

Jamaa akajua wezi, akapiga ambush na Vijana wake tukatekwa wote na kufungiwa kwenye kachumba Kadogo tulikuwa Kama kumi.

Tulitanguliziwa stiki za kufa mtu.
Kesho take tunatakiwa kwenda Shule alafu home hawajui tuko wapi na hakuna hata reporter aliyenusurika atoe taarifa na jamaa anasema tutalala humohumo hadi kesho.

Tulilia kama Mbwa, tuliongea Maneno yote mle ndani,
Kalikuwa kachumba Kadogo alafu Dirisha dogo sana liko juu.
Mimi nililia zaidi maana home tulikuwa tumeishaingia contract nikifika zaidi ya SAA 12 jioni lazima nichezee fimbo za kutosha. Sasa fimbo za home kwa mother zilikuwa zinahusisha mateke, kufinywa, vibao, ngumi, ndara, kuita nyota, kubeba mawe, yaani ile package ukiifikiri tu machozi yanazidi.

Tuliachiwa SAA mbili kamili usiku tukiwa tumejaa jasho na machozi mwili mzima.
Mimi nililia zaidi maana home tulikuwa tumeishaingia contract nikifika zaidi ya SAA 12 jioni lazima nichezee fimbo za kutosha. Sasa fimbo za home kwa mother zilikuwa zinahusisha mateke, kufinywa, vibao, ngumi, ndara, kuita nyota, kubeba mawe, yaani ile package ukiifikiri tu machozi yanazidi.
maza ako alikuwa mjeda?
 
Alikuwa RAIA ila anaukaribu na wajeda.
Kuna hicho alikuwa akinicheki hata kama Niko katikati ya ujinga gani naacha na kukaa sawa maana package yakr ya adhabu ilikuwa nzito hahahaha
 
Hahhhahaaaa
 
pole sana generali...Mimi niliwahi kuhama kijiji kwa muda baada ya kuchoma moto shamba la kijiji
Nilikuwa na hobby ya ajabu mno..ni kama vile nilikuwa obsessed na moto maana nilikuwa natembea na kibiriti mfukoni...hata kwenye mfuko wa madaftari hakukukosekana kibiriti...Na kwenye mashamba ya watu wakati wa kilimo zangu zilikuwa kuchoma moto mabua ama majani yaliyokauka
Siku moja jioni baada ya kutoka shule nikarudi home nikabadili na kwenda mpirani
Kufika uwanjani kumbe nilichelewa wenzangu wakawa wameenda kijiji jirani mpirani...nikatoka uwanjani nikawa naambaaambaa na ukingo wa mto unaotenganisha shamba la kijiji na uwanja...
Kufika mahali nikakuta rundo la matawi ya miti ya shamba la kijiji...nikatoa kibiriti na kufanya yangu....Aisee ule moto ulikuwa mkubwa mno na ukaanza kuteketeza sehemu nyingine za shamba..mbiu ikapigwa wanakijiji wakakusanyika kwa ajili ya kuzima moto
Sikuwa na haja hata ya kurudi home...nilikimbilia kwa babu kijiji kingine..huku zikitapakaa habari kuwa nasakwa na mgambo wa kijiji
........vipi hiyo hobi ya kutembea na viberiti mfukoni bado unayo?
 
Huwa sisahau kwa mjomba wangu alikuwa mhuni wa kutupa, basi kaenda zake club mimi nipo getoni kwake, usiku wa saa sita kaja na wanawake 2 wa rika lake akaniambia uncle mmoja huyu wa kwako jisevie, kipindi hicho niko mdogo sana hata sikuelewa anazungumzia nini

Wakapanda kitandani mara unkle kaanza kufanya yake na mwanamke wake pale pale kitandani, yule mwanamke niliyeletewa mimi bila hata ya kunihurumia kaanza kunipapasa mara anishike hivi mara vile hapo nashangaa shangaa tu sielewi lolote, bas bwana si akauchukua mkono wangu kanishikisha kwenye tupu yake!, mamamamama ile kugusa maotea ya nywele kule kwa down aiseee nilikurupuka nikatoka mbio za hatari nikaenda kujificha nje kabisa kwenye banda la ng'ombe wa mzee mmoja jirani, walinitafuta bila mafanikio

Akilini mwangu nikijua yule mwanamke ni jini hadi nilipokuja kupewa maelezo na uncle asubuhi ya siku iliyofuata kuwa zile ni nywele hata mimi nikiwa mkubwa zitaota
Mjomba wako alikuwa mshenzi sana
 
Sehemu ya pili nisiyoisahau
Uwanja wa mpira Kibaranga Muheza Tanga
Tuliambiwa kuna wachawi ndio airport yao usiku ...basi baada ya watu kulala sisi tukatoroka majumbani mwetu na kupitiana tukaenda mpaka pale uwanjani tukajibanza kwenye msufi tukiwa na vichupi tu huku tukiwa tumejipaka masizi usoni
Siku ile tuliwaona hata tusiotegemea kuwaona pale wake kwa waume ...wote wakiwa uchi kabisa ..wakati wakijiandaa kuruka na nyungo zao sijui kilitokea nini ila tulistukia tunakula vitasa vya kufa mtu..kila mmoja wetu alienda na njia yake...
 
Huwa sisahau kwa mjomba wangu alikuwa mhuni wa kutupa, basi kaenda zake club mimi nipo getoni kwake, usiku wa saa sita kaja na wanawake 2 wa rika lake akaniambia uncle mmoja huyu wa kwako jisevie, kipindi hicho niko mdogo sana hata sikuelewa anazungumzia nini

Wakapanda kitandani mara unkle kaanza kufanya yake na mwanamke wake pale pale kitandani, yule mwanamke niliyeletewa mimi bila hata ya kunihurumia kaanza kunipapasa mara anishike hivi mara vile hapo nashangaa shangaa tu sielewi lolote, bas bwana si akauchukua mkono wangu kanishikisha kwenye tupu yake!, mamamamama ile kugusa maotea ya nywele kule kwa down aiseee nilikurupuka nikatoka mbio za hatari nikaenda kujificha nje kabisa kwenye banda la ng'ombe wa mzee mmoja jirani, walinitafuta bila mafanikio

Akilini mwangu nikijua yule mwanamke ni jini hadi nilipokuja kupewa maelezo na uncle asubuhi ya siku iliyofuata kuwa zile ni nywele hata mimi nikiwa mkubwa zitaota
 
Darasa la saba Ile siku kura zimepigwa alafu mda wa matokea mimi ndiyo naonekana nimekula watoto wa kike karibia shule nzima. Moja ya matukio ambayo siezi sahau mpaka kesho
 
Ilikuwa siku ya jumamosi nzuri
Tuliposafiri na mama
Tukafika mahali pa bonde kubwa
Mahali pasipo na raha
Mpenziii...mpenzi mamaa
Naturudi tumepotea
Na turudi nyumbani kwa baba na ndugu kwenye raha na maisha memaaa...

huo wimbo daima humkumbuka mama yangu mpenzi aliyelala kwa amani..RIP MOM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakumbuka wakati nikiwa mdogo, kila christ mass na mwaka mpya tunakua tupo kijijini kwetu, tukishamaliza kufanya kilichotupeleka tunaondoka, kuna jambo lilikua linanishangaza sana, wakati tunaondoka inakua ni saa kumi alfajiri kuna sehemu ni kama kibonde hivi alafu kuna mto unapita, lakini nilikua nashangaa miti iliyokuwepo hayo maeneo ilikua inazunguka basi nilikua naangalia tu napotezea mana nilikua nabebwa, hili jambo halijawahi toka akilini mwangu mpaka leo.
 
Maisha yetu yanatengenezwa na mlolongo wa matukio
Utotoni tunapitia mengi saana...hebu taja sehemu ya utotoni kwa sababu zozote zile huwezi kuisahau kamwe...yani utasahau vyote lakini sio hiyo sehemu iwe kwa uchungu ,iwe kwa furaha, iwe kwa mshangao

Mimi kamwe sisahau msitu ule nilikopelekwa na wazee wa mila na vijana wakubwa kutiwa jando bila ganzi wala bandaje...huwa siisahau ile sehemu wala huwa simsahau yule mzee na kisu chake kidogo kikali sana alichotoa kwenye mfuko wa ngozi wala siwasahau wale vijana walionishikilia mikono na miguu

Je wewe husahau eneo lipi? Unaweza pia kuelezea sababu
Masaki pale kwa balozi
 
Mmh inazungukaje
 
Siku zile ambazo Mama alipika wali wa nazi na mchuzi wa kuku wa kienyeji, wali wa nazi na maharage au chapati na mchuzi wa kuku wa kienyeji 😋😋😋 siku hizo sa 12 tu nimesharudi nyumbani nimeshaoga bila kuchelewa nasubiri sahani yangu ya maakuli kwa hamu kuu. 😋😋😋😋 Utoto raha sana.

Maisha yetu yanatengenezwa na mlolongo wa matukio
Utotoni tunapitia mengi saana...hebu taja sehemu ya utotoni kwa sababu zozote zile huwezi kuisahau kamwe...yani utasahau vyote lakini sio hiyo sehemu iwe kwa uchungu ,iwe kwa furaha, iwe kwa mshangao

Mimi kamwe sisahau msitu ule nilikopelekwa na wazee wa mila na vijana wakubwa kutiwa jando bila ganzi wala bandaje...huwa siisahau ile sehemu wala huwa simsahau yule mzee na kisu chake kidogo kikali sana alichotoa kwenye mfuko wa ngozi wala siwasahau wale vijana walionishikilia mikono na miguu

Je wewe husahau eneo lipi? Unaweza pia kuelezea sababu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom