Taja sehemu ya utotoni usiyoisahau

Enzi zile kila inapokaribia mwaka mpya tunatengeneza baruti kwenye vichwa vya spoku za baiskeli/pikipiki, ili kuitest unasubiri sehemu walipokaa watu wamejisahau basi unaenda kuifyatua pale, wakistuka wewe ni burudaaaaaani moyoni.

Mwaka wa 1993 ndio sintokuja kuusahau, nilitaka mwaka huo niweke historia kubwa zaidi, na kweli......nilitengeneza baruti, lakin ya safari hii lilikuwa ni BOMU, nilitumia bomba la pampu ya baiskeli (hawa watoto wa siku hizi sidhani kama wanayajua), ilinichukua muda mrefu kidogo hadi kukamilisha utengenezaji wake, siku limekamilika sikwenda kulitega mimi, kuna rafiki yangu nilimpa maelekezo yote ya namna ya kulitega lakini yule NYUMBU KICHWA MAJI akakosea maelekezo.

Dude likalipuka wakati bado yupo kwenye harakati za kulitega, likaporomosha kibanda cha kufugia mbuzi huku likiondoka na uhai wa ndama mmoja wa mbuzi, likimuacha na ulemavu wa kukatika vidole vitatu vya mkono wa kushoto na majereha mabaya sana usoni.

Kila nikiendaga Tabora huwa sikasahau kale ka mtaa tulikokuwa tunaishi aisee
 
Sehemu ya pili nisiyoisahau
Uwanja wa mpira Kibaranga Muheza Tanga
Tuliambiwa kuna wachawi ndio airport yao usiku ...basi baada ya watu kulala sisi tukatoroka majumbani mwetu na kupitiana tukaenda mpaka pale uwanjani tukajibanza kwenye msufi tukiwa na vichupi tu huku tukiwa tumejipaka masizi usoni
Siku ile tuliwaona hata tusiotegemea kuwaona pale wake kwa waume ...wote wakiwa uchi kabisa ..wakati wakijiandaa kuruka na nyungo zao sijui kilitokea nini ila tulistukia tunakula vitasa vya kufa mtu..kila mmoja wetu alienda na njia yake...
Kiboko yao
 
Mungu wangu ! Ilijulikana ni wewe umefanya hivyo!?
 
Pale mtaani hakuna mwingine aliyejua kama mimi ni muhusika wa ile kadhia, na yule rafiki yangu nae aliogopa kunitaja, ikabaki watu wakaanza kuishi kwa tahadhari kubwa sana wakihisi kwamba eneo lile linaweza kuwa na mabomu.

Lakin bi mkubwa (R.I.P my lovely Mom) alitambua mapema sana kwamba lazima mimi ndio muhusika wa mlipuko ule, aliunganisha dots tu kwamba kwa takribani miezi miwili nilikuwa na harakati zisizoeleweka huku nikiwa namshirikisha yule jamaa, aisee..........

Mshana Jr......
Mshana Jr......
Mshana Jr......

Nimekuita mara tatu, haukuwepo lakin inawezekana kuna siku Malaika wako watakushuhudia hili, kwa siku mbili mfululizo nilichezea vipigo vitakatifu kutoka kwa bi mkubwa (R.I.P my lovely Mom ) vikiambatana na adhabu kali kali za kijeshi, hadi nilikubali kosa kwamba ni mimi muhusika
 
pole sana generali...Mimi niliwahi kuhama kijiji kwa muda baada ya kuchoma moto shamba la kijiji
Nilikuwa na hobby ya ajabu mno..ni kama vile nilikuwa obsessed na moto maana nilikuwa natembea na kibiriti mfukoni...hata kwenye mfuko wa madaftari hakukukosekana kibiriti...Na kwenye mashamba ya watu wakati wa kilimo zangu zilikuwa kuchoma moto mabua ama majani yaliyokauka
Siku moja jioni baada ya kutoka shule nikarudi home nikabadili na kwenda mpirani
Kufika uwanjani kumbe nilichelewa wenzangu wakawa wameenda kijiji jirani mpirani...nikatoka uwanjani nikawa naambaaambaa na ukingo wa mto unaotenganisha shamba la kijiji na uwanja...
Kufika mahali nikakuta rundo la matawi ya miti ya shamba la kijiji...nikatoa kibiriti na kufanya yangu....Aisee ule moto ulikuwa mkubwa mno na ukaanza kuteketeza sehemu nyingine za shamba..mbiu ikapigwa wanakijiji wakakusanyika kwa ajili ya kuzima moto
Sikuwa na haja hata ya kurudi home...nilikimbilia kwa babu kijiji kingine..huku zikitapakaa habari kuwa nasakwa na mgambo wa kijiji
 
Sehemu ya pili nisiyoisahau
Uwanja wa mpira Kibaranga Muheza Tanga
Tuliambiwa kuna wachawi ndio airport yao usiku ...basi baada ya watu kulala sisi tukatoroka majumbani mwetu na kupitiana tukaenda mpaka pale uwanjani tukajibanza kwenye msufi tukiwa na vichupi tu huku tukiwa tumejipaka masizi usoni
Siku ile tuliwaona hata tusiotegemea kuwaona pale wake kwa waume ...wote wakiwa uchi kabisa ..wakati wakijiandaa kuruka na nyungo zao sijui kilitokea nini ila tulistukia tunakula vitasa vya kufa mtu..kila mmoja wetu alienda na njia yake...
KKK SECURITY HAO
 
Niliweka story ya kikubwa badala ya kitoto nimeifuta.

Dobo kubitika, nani analijua hili game?

Uwanja wa shule ya msingi (jina kapuni) huko Moshi, niko darasa la pili hapo sina hili wala lile wale wakubwa wa darasa la nne wanacheza hilo game.

Mpira ukapigwa ukaja sehemu tulipo mi nikaamua kuupiga kuwarudishia, bahati mbaya nikaukosa then ukanipita dobo na nilikuwa sijui kama wanacheza dobo kubitika so sikujihami kukimbia!

Nilipigwa siku ile aisee! Nilikuwa nakufa! Mpaka waliokuwa madarasani ambao walikuwa hawachezi wakatoka kuja kunipiga!

Mbaya zaidi napigwa halafu pa kwenda kushika sipajui! Nilikula kichapo kama mwizi, watoto kama mia hivi yaan iligeuka sherehe ya kunipiga!

Mwalimu ndiyo aliniokoa, natoka midamu puani, mdomoni uniform imechanwa! Sitosahau kile kichapo, sitosahau lile eneo la shule hata kama siku hizi wamejenga shule ingine kwenye ule uwanja mkubwa sana
Huu mchezo ulikuwa haufai
Wanaweka mti alafu ukipigwa tobo unawahi kuushika Mimi
Nilipoona mti uko mbali nikakimbilia ofisini
 
Huwa sisahau kwa mjomba wangu alikuwa mhuni wa kutupa, basi kaenda zake club mimi nipo getoni kwake, usiku wa saa sita kaja na wanawake 2 wa rika lake akaniambia uncle mmoja huyu wa kwako jisevie, kipindi hicho niko mdogo sana hata sikuelewa anazungumzia nini

Wakapanda kitandani mara unkle kaanza kufanya yake na mwanamke wake pale pale kitandani, yule mwanamke niliyeletewa mimi bila hata ya kunihurumia kaanza kunipapasa mara anishike hivi mara vile hapo nashangaa shangaa tu sielewi lolote, bas bwana si akauchukua mkono wangu kanishikisha kwenye tupu yake!, mamamamama ile kugusa maotea ya nywele kule kwa down aiseee nilikurupuka nikatoka mbio za hatari nikaenda kujificha nje kabisa kwenye banda la ng'ombe wa mzee mmoja jirani, walinitafuta bila mafanikio

Akilini mwangu nikijua yule mwanamke ni jini hadi nilipokuja kupewa maelezo na uncle asubuhi ya siku iliyofuata kuwa zile ni nywele hata mimi nikiwa mkubwa zitaota
 
Nilikula muwa ulioungua nililala hta shule sikurudi tens shule maana kipindi kile unaenda asbh unarudi SAA sita kula, saa nane unalipoti tens shule. Hadi leo sitaki pombe yoyote maana ile ilikuwa dengeluwa kabisa.
 
Huwa sisahau kwa mjomba wangu alikuwa mhuni wa kutupa, basi kaenda zake club mimi nipo getoni kwake, usiku wa saa sita kaja na wanawake 2 wa rika lake akaniambia uncle mmoja huyu wa kwako jisevie, kipindi hicho niko mdogo sana hata sikuelewa anazungumzia nini

Wakapanda kitandani mara unkle kaanza kufanya yake na mwanamke wake pale pale kitandani, yule mwanamke niliyeletewa mimi bila hata ya kunihurumia kaanza kunipapasa mara anishike hivi mara vile hapo nashangaa shangaa tu sielewi lolote, bas bwana si akauchukua mkono wangu kanishikisha kwenye tupu yake!, mamamamama ile kugusa maotea ya nywele kule kwa down aiseee nilikurupuka nikatoka mbio za hatari nikaenda kujificha nje kabisa kwenye banda la ng'ombe wa mzee mmoja jirani, walinitafuta bila mafanikio

Akilini mwangu nikijua yule mwanamke ni jini hadi nilipokuja kupewa maelezo na uncle asubuhi ya siku iliyofuata kuwa zile ni nywele hata mimi nikiwa mkubwa zitaota
kwenye tupu yake!, mamamamama ile kugusa maotea ya nywele kule kwa down aiseee nilikurupuka nikatoka mbio za hatari nikaenda kujificha nje kabisa kwenye banda la ng'ombe wa mzee mmoja jirani, walinitafuta bila mafanikio

Hatari sana lakini salama ndugu, hahahaaaaa
 
Jamaa alituarika kwenda kula miwa ys Bibi yake. Kumbe sio lao ametuzuga. Jamaa alipokuja anauliza

Jamaa " mnafanya mini huko nyie watoto".
Sisi " ni sisi Bibi".

Jamaa akajua wezi, akapiga ambush na Vijana wake tukatekwa wote na kufungiwa kwenye kachumba Kadogo tulikuwa Kama kumi.

Tulitanguliziwa stiki za kufa mtu.
Kesho take tunatakiwa kwenda Shule alafu home hawajui tuko wapi na hakuna hata reporter aliyenusurika atoe taarifa na jamaa anasema tutalala humohumo hadi kesho.

Tulilia kama Mbwa, tuliongea Maneno yote mle ndani,
Kalikuwa kachumba Kadogo alafu Dirisha dogo sana liko juu.
Mimi nililia zaidi maana home tulikuwa tumeishaingia contract nikifika zaidi ya SAA 12 jioni lazima nichezee fimbo za kutosha. Sasa fimbo za home kwa mother zilikuwa zinahusisha mateke, kufinywa, vibao, ngumi, ndara, kuita nyota, kubeba mawe, yaani ile package ukiifikiri tu machozi yanazidi.

Tuliachiwa SAA mbili kamili usiku tukiwa tumejaa jasho na machozi mwili mzima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom