TAJA - Mzee Mengi haheshimu viongozi wa Zanzibar?

mi nimepitia ukweli wooote na nimekuja kugundua kuwa hawa TAJA ni genge la wahuni ambalo lipo kwa manufaa ya mpuuzi mmoja anayemchukia mzee mengi na kujaribu kumfuatafuata katika kila nyanja ili mradi amchafulie jina.

ishu ya kumhusisha mzee mengi kuwa anawachukia waislam mi naona ni ya kipuuzi na haifai kuongelewa kwa watu waelewa. tujiulize mzee mengi ni mara ngapi amekuwa akijitolea kushirikiana na waislam na ni mara ngapi mzee huyu amejumuika na ameshachangia shughuli za waislam? na kama hiyo haitoshi jaribuni kutazama ijumaa saa kumi na moja na nusu jioni mpaka saa kumi na mbili kamili jioni katika stesheni ya ITV inayomilikiwa na mzee mengi kuna kipindi cha dini ya kiislam, je jamani mtu awapende vipi?...
 
Kama kuna mtu anatishia uhuru wa vyombo vya habari kwa mujibu wa mambo yalivyoletwa hapa, mtu huyo si Reginald Mengi. Hawa watu wa TAJA wanaonekana kutoelewa nature ya uandishi wa habari katika millennia mpya.Mmiliki wa chombo cha habari ana haki ya kuamua habari ipi aiandike na ipi asiandike, wewe kama hutaki style yake una haki ya kususia kununua hilo gazeti, ndiyo mfumo wa free market huo, choice.Ndiyo maana watu wengine hawawezi kuangalia CNN kwa sababu wanadai it is too liberal, wengine wakiona Fox News wanataka kutapika kwa sababu it is too conservative and supports a neocon president.Ndiyo maana gazeti la chama "Mzalendo" haliwezi kuwaandika wapinzani katika light nzuri, ndiyo maana magazeti ya mageuzi mara nyingi yanamkoma nyani na kuipaka serikali ya CCM.

Sasa wanamsema Mengi haandiki habari za hawa old farts wa SMZ kama vile vyombo vyake ni vya CCM vile.

Huwezi kumlazimisha Rupert Murdoch au Silvio Berlusconi aandike nini katika gazeti lake.

This TAJA organisation is a big joke, probably of some broke old fatrs wanaojikomba kwa "wakubwa" wa kuchongwa wa SMZ.

Whats next? Orwellian Censorship and complete editing of whatever is to be published 1984 style?
 
Labda pia wangefanya uchunguzi wa matangazo ya vifo Radio One kutawaliwa na watu wa sehemu moja
MKODOLEAJI TATIZO LA WACHAGA WANAPEDA KU CELEBRATE MISIBA KWA KUSHINDA KWA AINA YA MAGARI YALIYO BEBA MAITI,MSULULU WA MAGARI,CHAKULA WAPISHI WALITOKA DAR, BIA ZILIKUWA ZA MAKOPO ,FULANA ZILITENGENEZWA CHINA SO WACHE WAFU WAZIKANE IT IS ANOTHER BISSINES TO THEM. .
 
Dada Asha! Nakushukuru sana kwa kukata mzizi wa fitna. Matatizo ya Mengi ni kuitwa Reginald! Wapuuzi kama hawa ndio wanaotaka kutuchanganisha sisi wamisheni na akina Asha. Hawajui tumeoleana na sote tu ndugu moja. Asante sana kwa kuwaweka sawa. watafute lingine lakini sio hili.

Amandla!

Awethu-Is Ours

Mshini Wami (Bring me my mashinegun)- er during power struggle by then if you know what I mean.
 
Hebu tuangalie hoja zao na kuzipima na kuona zina msingi kiasi gani na kama madai yao yanaweza kuoneshwa kuwa ni reasonable, fair, na founded.

Nadhani hoja ya msingi ya hawa jamaa ni kutaka kuwa huru katika chombo chao kisichofungamana na upande wowote ule.

Sasa je nini malengo ya kumwomba Mengi awe mlezi wao wakti ule siyajui.

Sasa kwa kuwa baadhi ya waandishi wa Tanzania ni wale wa "Chequebook Journalism" hili litakuwa ni tatizo endapo wataamua kujitegema na kama hilo ni wazo watakuwa wanashika makali na mpini unabakia kwa wamiliki wa vyombo vya habari na binamu zao kama TAMWA, TSJ na kama hivyo.

Unapokuwa mwandishi wa habari unatakiwa pia uwe "critic" wa hata mmiliki ili ajue wapi anakosea.

La sivyo unakuwa kibaraka tu.
 
Kama kuna mtu anatishia uhuru wa vyombo vya habari kwa mujibu wa mambo yalivyoletwa hapa, mtu huyo si Reginald Mengi. Hawa watu wa TAJA wanaonekana kutoelewa nature ya uandishi wa habari katika millennia mpya.Mmiliki wa chombo cha habari ana haki ya kuamua habari ipi aiandike na ipi asiandike, wewe kama hutaki style yake una haki ya kususia kununua hilo gazeti, ndiyo mfumo wa free market huo, choice.Ndiyo maana watu wengine hawawezi kuangalia CNN kwa sababu wanadai it is too liberal, wengine wakiona Fox News wanataka kutapika kwa sababu it is too conservative and supports a neocon president.Ndiyo maana gazeti la chama "Mzalendo" haliwezi kuwaandika wapinzani katika light nzuri, ndiyo maana magazeti ya mageuzi mara nyingi yanamkoma nyani na kuipaka serikali ya CCM.

Sasa wanamsema Mengi haandiki habari za hawa old farts wa SMZ kama vile vyombo vyake ni vya CCM vile.

Huwezi kumlazimisha Rupert Murdoch au Silvio Berlusconi aandike nini katika gazeti lake.

This TAJA organisation is a big joke, probably of some broke old fatrs wanaojikomba kwa "wakubwa" wa kuchongwa wa SMZ.

Whats next? Orwellian Censorship and complete editing of whatever is to be published 1984 style?

hah hah haaaaaa!
kwa upeo wa hawa TAJA sizani kama hao matajiri uliowataja kama wanawafahamu ni kina nani...wanaweza wakakwambia ni wachungaji wa parokia moja hukooooo buenos aires
 
huu ni upuuuzi na uchochezi tena wa kidini ambao haupaswi kupewa nafasi. hawa ndio maadui wakubwa wa habari maana hata sheria wayoomba ya mtu kuwa na vyombo vichache vya habari ndio kifo cha mhimili huu.
 
tusubiri ukweli si mida utakuja njee wacha tufatilie huko jikoni?

lkn mbona SMZ wenyewe wako kimya au wao wamelichukulia vipi?

nnashindwa kuunganisha mistari isije kuwa ni vita vya wengine hutumiwa wengine kuwa muhanga kufanikisha yao

hivi hili suala napo liliishia wapi , lakini mbona hatuyasikii haya kwa bakharesa
 
Back
Top Bottom