Taja mtu makini hapa jf kwa mada motomoto na za kuelimisha!

Heloo

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
4,391
3,402
Taja jina moja tu ili mwisho wa siku tuige mfano wake kwa mada nzuri za kuelimisha na kunurudisha mimi naanza na bwa 'nchuchu (according to me)
 
Nyanidume ndiyo mkali wa mada hapa JF, najuwa kuna mijitu itabisha lkn huo ndiyo ukweli, ha! ha! ha! ha!
 
Namkubali chief mkwawa,na Ritz hana matusi wala kashfa,nakerwa ni mishabiki yenye matusi na kashfa,
 
sanzjr hamma aka THINK-TANK, hoja mantiki ndo HADIDU REJEA yake, ni zao toka BAVICHA, the ROLE MODEL OF ALL waadilifu!
 
Namkubali Lara 1 especially kule MMU

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom