Taja mitaa 5 ambayo unapenda kutembelea zaidi uwapo hapa mjini JF

Mapenzi,mahusiano na urafiki

Chitchat

Habari na hoja mchanganyiko

Siasa

Doctors
 
Sports
Jukwaa la biashara
Habari na hoja mchanganyiko
Jamii intelligence
MMU
jukwaa la elimu-jf chief, jf doctor, education..
Jukwaa la historia.

Thank me later
 
Sports
Jukwaa la biashara
Habari na hoja mchanganyiko
Jamii intelligence
MMU
jukwaa la elimu-jf chief, jf doctor, education..
Jukwaa la historia.

Thank me later<img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji1666.png" /><img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji1666.png" />
umezidisha mkuu
 
Once upon the time nilikuwa Muumini sana wa MMU ila kwa sasa nimebaki na majukwaa matatu tu.

1. Sports

Hili nalitembelea sana kuliko majukwaa yote.

2. Jamii intelligence

Hapa huwa napita tu kumsoma the Bold.

3. JF garage
 
natumai hamjambo wajumbe.

wakuu kila mmoja wetu ataje mitaa 5 ambayo humpotezea mda mwingi kuitembelea awapo hapa mjini jamii forums.

ifuatayo ndo list ya mitaa 5 nayoitembelea zaidi kwa upande wangu:

1.MMU
hapa naingia ajili ya kushare & kujifunza mambo mbali mbali yahusuyo ndoa/mahusiano.

2.jamii intelligence
hapa naingia ajili kuchukua nondo nzito za kuulisha ubongo ili usikae kizezeta.

3.jukwaa la siasa
hapa naingiaga ajili yakujua mbivu na mbichi za wanasiasa wetu uchwara.

4.kenyan news &politics
hapa huingia ajili ya kuwatia mchecheto majirani zetu kenya wapenda sifa wanaojisifia elimu & uchumi wa makaratasi akati bado wanategemea chakula cha msaada.

5.sports
hapa naingia kuangalia habari za michezo coz ndo ulevi wangu mkubwa.

nb: mitaa mingine natembea bt hii ndo mitaa nayotembelea zaidi niwapo hapa mjini jf, karibu nawe utupie list yako.
1)Celebrities.
2)Habari na hoja mchanganyiko.
3)Biashara ,uchumi na ujasiriamali.
4)JF doctors
5)Matangazo madogo madogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom