Taja mitaa 5 ambayo unapenda kutembelea zaidi uwapo hapa mjini JF

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
natumai hamjambo wajumbe.

wakuu kila mmoja wetu ataje mitaa 5 ambayo humpotezea mda mwingi kuitembelea awapo hapa mjini jamii forums.

ifuatayo ndo list ya mitaa 5 nayoitembelea zaidi kwa upande wangu:

1.MMU
hapa naingia ajili ya kushare & kujifunza mambo mbali mbali yahusuyo ndoa/mahusiano.

2.jamii intelligence
hapa naingia ajili kuchukua nondo nzito za kuulisha ubongo ili usikae kizezeta.

3.jukwaa la siasa
hapa naingiaga ajili yakujua mbivu na mbichi za wanasiasa wetu uchwara.

4.kenyan news &politics
hapa huingia ajili ya kuwatia mchecheto majirani zetu kenya wapenda sifa wanaojisifia elimu & uchumi wa makaratasi akati bado wanategemea chakula cha msaada.

5.sports
hapa naingia kuangalia habari za michezo coz ndo ulevi wangu mkubwa.

nb: mitaa mingine natembea bt hii ndo mitaa nayotembelea zaidi niwapo hapa mjini jf, karibu nawe utupie list yako.
 
1. MMU
2. Jukwaa la siasa
3. Jukwaa la Elimu
4. Sports
5. Jamii intelligence
 
Nishapita machochoro zoteeeeee na napita machochorooo zoteeeeee kikubwa mzuka tu na uhitaji wa siku husika
 
Jamii intelligent
Ndo jukwaa Bora humu jamii forum,japo tukikosana na wapenzi wetu tinahamia MMU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom