Taja members ambao hawajaonekana Online kwa muda mrefu sana??

huyu mmemsahau bwanaaa "NYANINGABU" cjui kaingia kipori gani... na yule signature yake "mia" na yule "nangoja uropoke tu"
 
kanakansungu na Dua...
Dah namkumkumbuka sana Dua hatukuwahi kuiva Chungu kimoja.
Siku zote mara zote moto uliwaka.
Signature yake aliandika Dua la Kuku halimpati mwewe.
Halafu avatar yake ni mwewe
 
hivi kabisa kuna mtu anakaa na kuwamiss Maralia Sugu na Faiza Fox?
duh kweli, ukijuwa lile, wenzio wanajuwa hili
 
Back
Top Bottom