Taja members ambao hawajaonekana Online kwa muda mrefu sana??

Hawa sio wale waliopotelea Igunga.MWITA25 nilifanya uchunguzi kumbe J.Mnyika. Nawai mama Koku.
 
Nasikia kuna baadhi walipotelea Igunga. MWITA25 kumbe J.Mnyika. Nawahi mama koku isiniache.
 
Hiv m2 umepigwa ban halaf ukaingia na id nyingine na kuna wa2 wanasema wanakumic na ukajitambulisha we ndo fulan uliekula ban mf FF inakuwaje au utalamba ban nyingine!
Hili swali lielekeze kwa Kongosho anaweza kukusaidia majibu.
 
MTM, Acid, De Novo, Carina Ti, Wozoza, Julius, Geoff, Chrispin, Nguli jabali, Sipo, Charity, Naniliu, Carmel, mwenzetu et el. Enzi hizo kulikuwa hakuna xana, cri, xoxo, 2ko, cc...

Huyo Charity si ndio Charity Tunda(RIP)? Ebu angalia kama last activity yake ipo chini ya 4 July 2011.
 
Last edited by a moderator:
Dr WILLBROAD SLAA sijamwona jamvin kitambo sana.

Sijui ana ID nyingine?
 
Nyakwaratony
'
Rogi, nipo mkuu nimejaa tele kama pishi la mchele, sema kuna kijikazi flani kimenityt kinoma huwa napita hapa kimachale... I think by this week ntahudhuria effectively........ Mic u ol!
 
Last edited by a moderator:
Hivi mike pima ndo nitonye


Siku moja napitia thread moja nikakuta avatar ya Nitonye. Kwenye id nikaona jina la Michael Pima.Ukilikuta jina hili hapa JF cheki avatar, itakuwa ileile ya Nitonye. Si unaifaham ile avatar imekaa kama mtu kameza kwinini? kwa hiyo Michael Pima ni Nitonye.
 
Back
Top Bottom