Taja mchezaji unayemkubali nje ya timu kubwa za EPL

Kikosi changu ni hiki

D.Henderson

Aaron Soyuncu Ake. Chilwel

Ndidi. Neves

Maximin T.Cantwely J.Grealish

D.Ings

Sub.

Adama
Madison
Pukki
Poppe
Hayden
Rodriguez
Jimenez
 
Msimu huu kuna wachezaji wamekiwasha hasa, viwango vyao vimetakata mno japo hawachezi timu kubwa kama Liverpool, Man City, Man Utd, Arsenal, Spurs na Chelsea.

Leo tuwataje wachezaji tunaowakubali ambao hawachezi hivyo vilabu hapo juu.

Mimi naanza na Ruben Neves wa Wolves jamaa ni bonge la mido, ana uwiano mzuri katika ukabaji na kushambulia.

Karibu tuendelee.
Richarlson
 
Kuna huyu nahodha kitasa wa mbwa mwitu pale (Wolves) anaitwa Conor Coady..

Ni beki mmoja mtulivu sana na anajiamini, ananifurahisha sana uchezaji wake.
Ananikumbusha enzi nikiwa mikobani, sina mapepe nafinya hata ndani ya 6!

Ukipata muda tafuta game yoyote ya Wolves halafu ukae umuangalie huyu munu.

Utulivu=98%
images%20(2).jpg
 
Utulivu=98%View attachment 1504000
Anapiga long balls hatari sana huyu jamaa .
Mechi zote 34 msimu huu za Wolves kwenye ligi hajakosa hata dakika 1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom