Taja mchezaji unayemkubali nje ya timu kubwa za EPL

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,713
45,096
Msimu huu kuna wachezaji wamekiwasha hasa, viwango vyao vimetakata mno japo hawachezi timu kubwa kama Liverpool, Man City, Man Utd, Arsenal, Spurs na Chelsea.

Leo tuwataje wachezaji tunaowakubali ambao hawachezi hivyo vilabu hapo juu.

Mimi naanza na Ruben Neves wa Wolves jamaa ni bonge la mido, ana uwiano mzuri katika ukabaji na kushambulia.

Karibu tuendelee.
 
IMG_2867.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom