Taja Mambo Mazuri na Mabaya ambayo Tanzania inaongoza

1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
5,165
2,000
Wafanyakazi wanaoingia ofisini kufafuta madili badala ya kazi.

Watu wabinafsi kupitiliza.

Watu wanaosifia wezi wa Mali za umma.

Watu wanaofurahia na kusifia waoneaji na kulaumu wanaoonewa.

Wanaobambikia watu Kesi wanasifiwa na kupandishwa vyeo lakini waliobambikiwa kesi wanachekwa na kuambiwa wameyataka wenyewe kwa kujifanya wajuaji?

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
5,165
2,000
Mkuu kwenye hii ishu ya lugha hapa baada ya kutembea nchi kadhaa nimegundua tuna advantage sana kutumia lugha yetu ya kiswahili kuliko lugha za wakoloni...
Hivi Wale wa awamu ya Tano wangetawala kuanzia Uhuru ingekuaje ?

Nadhani Kuna Lugha ya kabila Fulani ingekua ni lugha mbadala wa Kiswahili.

Mwarabu alitusaidia sana kuimarisha kiswahili mana Zanzibar ni kiswahili tu hakuna lugha makabila.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
6,407
2,000
Hivi Wale wa awamu ya Tano wangetawala kuanzia Uhuru ingekuaje ?
Nadhani Kuna Lugha ya kabila Fulani ingekua ni lugha mbadala wa Kiswahili...
Kuna siku moja nilienda uhamiaji makao makuu nikaingia kwa ndani kuna ofisi wanakoandaa passport ina maafisa kama 10 hivi aisee nikashangaa wanaongea kwa kilugha chao kupiga stori dah nikashtuka sana tena ni watu wenye manyota

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
11,753
2,000
Tanzania kama nchi inayo mambo mengi inaongoza. Yapo mazuri na mabaya. Taja mambo ambayo unaona ama unajua kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki, Afrika na duniani kwa ujumla.

Kwa kuanza..

1. Tanzania ndiyo nchi yenye wazungumzaji wengi wa lugha ya Kiswahili duniani. Ikifuatiwa na Kenya..
Tunaongoza Kwa ushabiki mandazi
 
for life

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
2,658
2,000
Nchi ambayo tunalazimishwa magojwa ya wazungu na matajiri yasiyo ya kwetu
 
mwakajana

JF-Expert Member
Apr 14, 2017
220
250
Hili la unafiki na umbea limetajwa sana, hebu fafanua mdau
Hio ndio sifa ya watanzania,,jumlisha majungu na kupenda mambo ya hovyo kama Mzee Mpili,,Piere Liquid,,Babu wa Samunge nk na KUTOJALI KABISA mambo ya msingi
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
3,926
2,000
Tanzania kama nchi inayo mambo mengi inaongoza. Yapo mazuri na mabaya. Taja mambo ambayo unaona ama unajua kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki, Afrika na duniani kwa ujumla.

Kwa kuanza..

1. Tanzania ndiyo nchi yenye wazungumzaji wengi wa lugha ya Kiswahili duniani. Ikifuatiwa na Kenya..
2. Ndio nchi pekee afrika ya mashariki yenye wanawake wenye macho makubwa.
3. Ndio nchi yenye Idadi kubwa ya walio keketwa.
4. Ndio nchi pekee Africa, yenye Rais aliyeko madarakani Kwa mujibu wa Katiba.
 
XII Tz

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
1,063
2,000
Kuna siku moja nilienda uhamiaji makao makuu nikaingia kwa ndani kuna ofisi wanakoandaa passport ina maafisa kama 10 hivi aisee nikashangaa wanaongea kwa kilugha chao kupiga stori dah nikashtuka sana tena ni watu wenye manyota

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Hahahah hii nimeiona sana hapa Uganda ..
 
Renegade

JF-Expert Member
Mar 18, 2009
6,109
2,000
Sio kweli, Drc Congo imepakana (Congo Brazzaville, Center Africa repabluc, South Sudan, Uganda,Rwanda, Burundi, Tanzania,Zambia,Angola)
Uganda, RWANDA, BURUNDI,KENYA,MALAWI,ZAMBIA,SEYCHELES,MOZAMBIQUE,DRC,SOMALIA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom