taja mambo matati ambayo unatamani ufanyiwe na best wako

daneyodry

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
350
227
Habarini wadau wenzangu
kama uzi unavyojielezea naomba kila mtu ataje mambo matatu anayopenda besti (rafiki yake kipenzi amfanyie)

mimi ninayopenda anifanyie ni:-
1. asiwe muongo sana, kila kitu anachosikia kwangu anataka akisambaze
2. asipende kuniombaomba vihela bila sababu
3. asiwe na mademu wengi, sababu ipo siku hakosi ataniaibisha bure

Nawe taja yako!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namkumbuka Bestfriend wangu siku alionambia kuwa anampenda demu wangu nilibaki kumshangaa tu. Kumbe jamaa alikuwa yupo serious alifanya mpaka tuliachana na mwanamke wa doto yangu. kibaya zaidi na yeye alimkosa pia.:D:D
 
hahahah, so ila unataka ukiwa na best tena akufanyie nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wadau wenzangu
kama uzi unavyojielezea naomba kila mtu ataje mambo matatu anayopenda besti (rafiki yake kipenzi amfanyie)

mimi ninayopenda anifanyie ni:-
1. asiwe muongo sana, kila kitu anachosikia kwangu anataka akisambaze
2. asipende kuniombaomba vihela bila sababu
3. asiwe na mademu wengi, sababu ipo siku hakosi ataniaibisha bure

Nawe taja yako!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hata hujasema mambo gani unataka akufanyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom