Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,489
- 70,273
@ThadAsante kwa taarifa mi mwenyewe najuaaana yake ila sio mbaya kwa faida ya wote kuna member humu anaitwa (thad) alikuwa anatamani sana kujua maana yake
@ThadAsante kwa taarifa mi mwenyewe najuaaana yake ila sio mbaya kwa faida ya wote kuna member humu anaitwa (thad) alikuwa anatamani sana kujua maana yake
@Thad
Hivi yule jamaa Tunakodisha Bunduki yupo wapi ?
Kwanini kaacha mkuu? Mwambie jf inam misi sana.Ni mwanangu sana uyo jamaa sahivi kaacha kutumia networks
Kwanini kaacha mkuu? Mwambie jf inam misi sana.
Ina maana umeamkaje "mbee"" ni baba au babu au mwanaume yoyo wa makamo fulani te inabeba umeamkaje mzee mushi? Hii mushi ni ukoo.Nahisi haya majina maana zao wanazijuaga wao wenyewe
😁😁😁Numbisa
Acha hizo chifu!! Teh teh teh!!
Hapana jina lako linanikumbusha mbali Sana.Aisee we jamaa naona umeanza kunisakama.
Hayamo mkuuYaliyomo yamo?????
Hahaha na mimi nimefanyajeKhantwe.........!
Acha hizo chifu!! Teh teh teh!!
Wapi Mkuu?!?!Hapana jina lako linanikumbusha mbali Sana.
Na mimi.?!Kwa ufupi kuna baadhi ya majina nikisoma huwa nacheka sana nikiwa natafakari huyo mtu mwenye hilo jina alikua anawaza nini wakati wa kujisajili humu JF. Majina ya kufurahisha ni kama yafuatayo, kwa uchache:
1. Mchecheto;
2. Miss Natafuta;
3. Kipara kipya;
4. Mkwepa kodi
5......................
Basi burdani.