LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 13,248
- 17,962
nyani Ngabu, GENTAMYCINE, CiproflaxinKwa ufupi kuna baadhi ya majina nikisoma huwa nacheka sana nikiwa natafakari huyo mtu mwenye hilo jina alikua anawaza nini wakati wa kujisajili humu JF. Majina ya kufurahisha ni kama yafuatayo, kwa uchache:
1. Mchecheto;
2. Miss Natafuta;
3. Kipara kipya;
4. Mkwepa kodi
5......................
Basi burdani.