Taja majimbo ambayo uchaguzi ukifanyika leo CHADEMA itashinda.

Kama hawataiba kura cdm hii dola iko mikononi mwa cdm. Dola iliypo haina ridhaa ya wote (uchakachuaji wa kura) tume legelege ya uchaguzi
 
SEGEREA, vijana wakiwa makini km Arumeru, nawaambieni gamba limeshikiliwa na gudi ya maji!!!!!!!!!!
 
Suala siyo kufanyika tu, sema ukifanyika ukiwa huru na haki na utashi wa wapiga kura ukizingatiwa!!!!!
 
Mbona mnazungumzia majimbo tu?
Hata uchaguzi wa urais ungefanyika leo CHADEMA wangeshinda ushindi wa Kimbunga.
 
Last edited by a moderator:
Masasi, Newala, Ulanga magharibi na mashariki, Mbozi kwa Zambi,
 
Back
Top Bottom