Taja kitu kimoja kizuri ambacho ex wako alikuwanacho

luse

JF-Expert Member
Jun 9, 2012
592
1,043
Mara nyingi watu wanapokuwa wanazungumzia ma ex wako, huwa wanawazungumzia in a bad light. Mara utasikia wakisema ex wao alikuwa mchoyo, katili, hajui kucare, machafu, mbahili, muongo, mchunaji n.k

Mara chache sana utasikia mtu akimzungumzia ex wake in a good light, e.g ex wake alikuwa mpole, mkarimu, anajua kuonyesha upendo, ana heshima n.k

Sasa leo jaribu kutaja atleast kitu kimoja kizuri ambacho ex wako alikuwa nacho. Name one good thing about your ex. Lets discuss...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom