Joe Unruly
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 203
- 187
Quentin Tarantino....mzee wa violence kwne muvi zakeThe hatefully eight
Quentin Tarantino....mzee wa violence kwne muvi zakeThe hatefully eight
Hahaha.jamaa ana sheria zake sheria ya kwanza anakuambia no new deals,when it is a deal,it is deal,sheria ya pili no names na ya tatu hataki kujua package Nini.The transporter ya Jason statham,hii nimeshaiangalia hadi basi ila nikikuta watu wanaangalia na mie nakaa chini naangalia kama sijaiona vile.
Hata leo inaonyeshwa saa 00:21 channel 110 m-net movies action.Hard target ni noma sana,napenda sana yale mazingira ya msituni
mkuu ebu nitajie baadhi ya moviez kali za denzel washington1.Jonh Q - Denzil Washinton
2. Final Destination
3. Instyle
Phatty girls (volumes zote).Wanajamvi natumai nyote ni wazima wa Afya.
Ningependa tujumuike katika Uzi huu, kutaja ni cinema ipi ambayo umeshaiona zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka.
Mimi binafsi movie ambayo huwa hainichoshi kuiangalia ni
BLOOD DIAMOND
Solomon Vandy
Hivi hiyo Matilda naweza kuipata wapi?the ruins
high lerning
matilda
blood diamond
The great battle yule mchizi kweli aliamua kuja kuua mpaka anaweka kambi mlangoni mwake1. Olympus has fallen
2. Operation red sea 2018
3. Polar 2019
4. Avangers: infinity war
5. The great battle
6. Ready player one
7. Captain america: the winter soldier