Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

The transporter ya Jason statham,hii nimeshaiangalia hadi basi ila nikikuta watu wanaangalia na mie nakaa chini naangalia kama sijaiona vile.
 
The transporter ya Jason statham,hii nimeshaiangalia hadi basi ila nikikuta watu wanaangalia na mie nakaa chini naangalia kama sijaiona vile.
Hahaha.jamaa ana sheria zake sheria ya kwanza anakuambia no new deals,when it is a deal,it is deal,sheria ya pili no names na ya tatu hataki kujua package Nini.
 
Wanajamvi natumai nyote ni wazima wa Afya.

Ningependa tujumuike katika Uzi huu, kutaja ni cinema ipi ambayo umeshaiona zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka.

Mimi binafsi movie ambayo huwa hainichoshi kuiangalia ni
BLOOD DIAMOND
Solomon Vandy
Phatty girls (volumes zote).
 
Avanger zote nimetazama mara nyingi.. hasa Thor Ragnarok, Infinity war,Doctor strange na Civil war
 
1. Olympus has fallen
2. Operation red sea 2018
3. Polar 2019
4. Avangers: infinity war
5. The great battle
6. Ready player one
7. Captain america: the winter soldier
The great battle yule mchizi kweli aliamua kuja kuua mpaka anaweka kambi mlangoni mwake
 
Back
Top Bottom