Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

I think ll never get bored watching these movies :

- Water world

- God's Not Dead

- A Walk to Remember

- Hostel 1&2

Natafutaga movie dizaini ya hio ya water world au ile wild wild west ya Will Smith lkn sizionagi kiviiiile.
 
Km unapenda comedy huwezi achia njian!
Bahati mbaya ni kwamba waliogiza wengi wao ni marehemu (kasoro Danielle), ni ya muda saaaana.
Pfasavor...!

Mai nem is Giovanni Cupeelo

Ranjeet

Hii ilikuwa comedy series nzuri sana.
 
32 Reactions
Reply
Back
Top Bottom