Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

Huyo wa the raid anaitwa Iko Uwais kuna the raid 1na 2 kaigiza movie inaitwa Head shot itafute.
yule dogo asee nlimvulia kofia sio kwa mkono uo.. kama hyo ya the night xome for us... kipigo ni sheedahh... napenda movies kama hzo duniaaa...
asante man takupa mrejesho
 
Itizame hii fight scene Bro;

mkuu hii movie niliona kitambo sana tena enzi hzo tv ya kudowea kwa jirani.

ngoja niitafte mkuu niicheki.

na kuna ile donnie yen kacheza na mike tyson imetoka ile ?

inaitwaje ile mkuu nyo ni kali balaa..
 
IP MAN 3 ishatoka mbona tunasubiria Ip man 4 Donnie yen na Scot Adkins(boyka).
Hiyo Ip man three nakumbuka mwaka jana nilikua cinemax mkuki naicheki na mama watoto.
 
yule dogo asee nlimvulia kofia sio kwa mkono uo.. kama hyo ya the night xome for us... kipigo ni sheedahh... napenda movies kama hzo duniaaa...
asante man takupa mrejesho
Mkuu kuna merantau warrior na behind sky line kazicheki pia.
Na kuna ile tripple threat waliigiza huyo iko uwais,Tonny Jaa,Scot Adkins,Michael jai white kaicheki.
 
When it comes to Donnie, tusisahau kumpa- credits mama yake mzazi anaitwa Bow-sim ni Tai Chi grandmaster na amewahi kuea mwalimu ya Wushu na Shaolin KungFu. Kawafundisha na watoto wake akiwepo Donnie Yen ndio tunaona mabalaa yake kwenye movies.
Hizi zote ni shina la movie ya new big boss don yen nomaa
Picha ni Donnie Yen na ndugu yake wakiwa na mama wao. Hii familia inaonekana majambazi walikuwa hawakatishi mtaani kwao.
Family-1.jpeg
 
IP MAN 3 ishatoka mbona tunasubiria Ip man 4 Donnie yen na Scot Adkins(boyka).
Hiyo Ip man three nakumbuka mwaka jana nilikua cinemax mkuki naicheki na mama watoto.
ngoja niitafute, kile kipande cha donnie na bwana tyson ulikuwa ni mkono mzito sana aisee.

yani jamaa anacheza kama live so amazing wallah
 
When it comes to Donnie, tusisahau kumpa- credits mama yake mzazi anaitwa Bow-sim ni Tai Chi grandmaster na amewahi kuea mwalimu ya Wushu na Shaolin KungFu. Kawafundisha na watoto wake akiwepo Donnie Yen ndio tunaona mabalaa yake kwenye movies.
Picha ni Donnie Yen na ndugu yake wakiwa na mama wao. Hii familia inaonekana majambazi walikuwa hawakatishi mtaani kwao.View attachment 1211814
Ila tukija kwa Jet li ni grand master wa wote aisee.
Mchizi kashinda international wushu tournament akiwa na miaka 10.
Na ana black belt ya wushu Jetli.
Mabalaa ya Donnie Yen bro yameongezeka baada ya yeye kwenda kujifunza MMA(mixed martial arts) na wingchung Yip man na wingchung taeng yin chi.Ndio maana unamwona ana balaa.
 
Striker-Frank Zagarino

Blood Moon-Gary Daniels

Phantom Soldiers

Double Impact-Van damme

Armour of God-Jackie Chan

Mr.Nice Guy

Above the Law-Cynithia

No retreat no surrender.

American ninjas part zote

Delta Force part zote

Pamoja na kwamba technology imebadilika lkn
Hizo zote naziangaliaga kwny VHS mpk leo zinanikumbusha those Ole good days.
 
Back
Top Bottom