Ongezea Jason BourneBourne Identity
Bourne Supremacy
Bourne Ultimatum
Black Hawk Down
kaka southernboy Ile so movie ya kurudia rudia haina radhansyuka
Itafute nyingine kama hiyo inaitwa Hacksaw ridge ni hatariSaving private Ryan one of the greatest movies of all time
Nishaiona haiifikii SPR soma kuhusu Saving Private Ryan ndio utabaini ni kwa namna gani hii movie imeleta mapinduzi katika filamu za kivita ni realisticItafute nyingine kama hiyo inaitwa Hacksaw ridge ni hatari
Nilishaiona sijasema uzishindanishe,nimesema nayo ni nzuri piaNishaiona haiifikii SPR soma kuhusu Saving Private Ryan ndio utabaini ni kwa namna gani hii movie imeleta mapinduzi katika filamu za kivita ni realistic
ndio uhalisia huwa hivyo utamu wa kwenye kitabu kuna vitu kwenye movie haviwezi fikiaJasom Bourne nimesoma vitabu, Niliangalia kidogo movie ya Bourne Identity, Actor amejitahidi lakini hajafikia ubora uliomo kwenye kitabu.