Taja instrument(s) au sehemu ya beat ya wimbo inayokuburudisha

Rude boy wimbo reality kuna ka flute flani hiv kanapiga wimbo unapo anza
 
Hatari mzee baba
Mkuu unapenda Music sana aisew tuko pamoja..

2Drunkin Love-Bayonse na JIga

Thug mansion-2pac

Dmx Where the Hood at...hii unaweza enda Kisutu Jtatu ukamtoa Mbowe😀😀😀

Mabovu..mtoto wa Kiume..mwanzoni pale

Xzibit..Paparraz kuna malalamiko sijui yale si mchezo.

Mstari wa Mbele..Kalapina ukiwa umetupia nimja unaweza kwenye Lugalo ukatoa geti pale

Hotbling-Drake mwanzoni na Mwishoni

Kisa Demu -Jumanature

Msela Ngwair,Nonii na Kr

Kamua-Gwm...hii kitu moto mzito mno.Akruuuuupwaaaa...majani nipe beat😀😀😀

Esketit-Lily Pump beat flan hivi

In the End -Linkin Park mwanzoni pale

Numb-Linkin Park kunq gitar flanu hivi mwanzoni pale.

Si uliniambia-Mb Dogg
Sifai -Qjay kuna balaa anapoimba Josline
 
Ile Saxophone inapigwa kwenye wimbo wa Blessed wa bwana Wizkid na kijana wa Marley ni ala inayonisuuza sana.
 
Katika muziki kuna miguso ya ajabu sana, yaani unaweza kusikiliza instrument(s) Fulani ukatekwa kabisa na kufanya uzidi kuupenda muziki husika. Hebu tutumie huu uzi kuzitaja hizo sehemu au instrument(s) katika nyimbo ambazo zinakonga nyoyo zetu.

Kwa kuanza mimi kuna hizi hapa
Zile strings zinazoambatana na kick pale mwazoni mwa wimbo wa ‘knock you down’ wa keri hilson ft. kanye west & Ne-Yo. Na pia huwa zinabamba sana pale kanye west anapoanza kuchana kabla beat halijachanganya. Huwa naburudika sana kwa kweli.

Kile kimluzi cha kwenyechou ya wiggle ya Jason derulo ft. snoop dog, yani nikisisikia najikuta nachezesha kichwa.

Ile sijui ni piano ama kitu gani inayosindikiza chorus ya kwenye wimbo wa swallah (samahani kama imekosea spelling) ya Jason derulo ft. nick minaj na Yule jamaa mwingine tola y nani sijui, jina lake linanishinda kuandika.

Trumpet iliyopo kweye chourus na baadhi ya sehemu kwenye verse ya wimbo wa kill yourself ya nikki mbishi ft. Godzilla & cliff mitindo. Producer sijui alitumia kilevi gani kutengeneza hiyo kitu, so amazing.

Ile violin ya kwenye wimbo wa kababaye wa chin bees halafu huwa kuna ka string flani kanapita kwa chini, dah ni noma sana.
Ile piano ya mwanzoni kwenye wimbo wa see you again ya wiz khalifa ft. Charlie puth, huna inagusa moyo sana.

Ile string iliyopo mwanzoni mwa mimbo wa sofia by ben pol.

Kuna ka instrument flani kana mlio kama wa kengele hivi kwenye chorus ya kadogo ya ali kiba.

Zipo nyingi, tuendelee kuzitaja.

somesha mtoto shule apate elimu eeeh atafaidika kwa maisha yake.....

Asikwambie mtu tutuuu......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom