Taja 'horror movies' zenye ubunifu mkubwa na wa pekee

Wakuu 🙌 Nme-screenshot comments zote zinazoelezea movies, kuna mahali hua naenda kula free WIFI aisee nawaahidi sitowaangusha.
Binafsi, horror movies ndio movies pekee ambazo utakuta nimekaa naangalia mana zinanipa hisia mubashara, horror movies nazopenda ni aina kama ya The Nun, Annabelle, The Conjuring, Ring na nyingine kama za aina hizo lakini sipendi horror movies aina kama ya Final Destination, Saw n.k
 
Kuna movie siikumbuki jina kuna bwana mmoja alikufa ila roho yake ikabaki kwenye jumba jeupe alilokuwa anaishi ile roho yake ikaanza kumsumbua mama aliyahamia kwenye hilo jumba mama wa watu akawa hakai kwa amani humo anakula mikwaju na huyo mtandika mikwaju ambaye haonekani kwa kuwa huyo mama alikuwa anajumba lingine sehemu nyingine akawa anakimbilia huko
 
Kuna movie moja ya 2023 inakwenda kwa jina la Tin and Tina. Nimeipenda sana. Inaanza na mama mmoja yuko kanisani anafunga ndoa. Mara damu zikaanza kutoka, kumbe ni mimba imeharibika. Kupelekwa hospital madakta wakamwambia kuwa hataweza tena kuzaa mtoto maisha yake yote. Yeye na mume wake amabaye alikuwa ni pilot waamua ku-adopt watoto. Wakaenda nyumba ya masista iliyokuwa inatunza mayatima, waka-adopt mapacha wawili ambao walikuwa ni ma-albino, Tin na Tina kwa majina. Hawa watoto walikuwa wamelelewa kwenye maisha ya kusoma biblia muda wote, walikuwa kama walokole hivi. Mikasa iliyotokea kwenye maisha yao na wale wazazi wao wapya ni mingi, yakushangaza na kusikitisha.
 
Watu wengine hatupendi kuangalia horror movie sio tu inatisha pekee Bali tunataka iwe ndani yake Ina mvuto (idea nzuri) na unique ndo dhumuni kubwa ya Huu Uzi mfano mzuri ni "Final destination" japo ni horror movie lakini ina idea ya kipekee na yenye kuvutia ndani yake.

Script writer wa hii movie alitumia ubunifu mkubwa na very unique sana pale ambapo watu wanakufa kwa matukio ya kutengeneza bila kuuliwa physical na mtu yoyote Jambo lingine linaloleta mvuto kwenye hii movie ni aina vifo wanavyokufa watu.

So na nyinyi tajeni horror movies zenu zenye ubunifu na mvuto ambazo zipo unique ukiondoa kutisha kwake kama nilivyoeleza kwa kifupi sio unatujia sijui wrong turn Mara course of llorona alafu unasema Zina ubunifu na unique na mvuto hatutakuelewa utakuwa uwelewi maana ya haya maneno ubunifu, unique na mvuto taja horror movie yako lakini lazima ziwe na haya mambo matatu.
the witch part1&2 korean
 
Wakuu 🙌 Nme-screenshot comments zote zinazoelezea movies, kuna mahali hua naenda kula free WIFI aisee nawaahidi sitowaangusha.
Binafsi, horror movies ndio movies pekee ambazo utakuta nimekaa naangalia mana zinanipa hisia mubashara, horror movies nazopenda ni aina kama ya The Nun, Annabelle, The Conjuring, Ring na nyingine kama za aina hizo lakini sipendi horror movies aina kama ya Final Destination, Saw n.k
Final Destination, September 13th, F.Destination izo sio Horror izo tunaziweka kwenye Slasher movies.
 
Kuna movie moja ya 2023 inakwenda kwa jina la Tin and Tina. Nimeipenda sana. Inaanza na mama mmoja yuko kanisani anafunga ndoa. Mara damu zikaanza kutoka, kumbe ni mimba imeharibika. Kupelekwa hospital madakta wakamwambia kuwa hataweza tena kuzaa mtoto maisha yake yote. Yeye na mume wake amabaye alikuwa ni pilot waamua ku-adopt watoto. Wakaenda nyumba ya masista iliyokuwa inatunza mayatima, waka-adopt mapacha wawili ambao walikuwa ni ma-albino, Tin na Tina kwa majina. Hawa watoto walikuwa wamelelewa kwenye maisha ya kusoma biblia muda wote, walikuwa kama walokole hivi. Mikasa iliyotokea kwenye maisha yao na wale wazazi wao wapya ni mingi, yakushangaza na kusikitisha.
Kali sana wale madogo walianza mdogo mdogo wanaua mbwa (pet) mbona walijuta. Una adopt mtoto haujui background.
 
Back
Top Bottom