Taja "character" uliyemchukia kupita kiasi katika filamu au tamthilia

Sterling Archer(Bon Benjamin) wa Archer series, anakera sana. Japo huyohuyo nampenda kwenye Bob's Burgers.
 
“You couldn’t live with your own failure..where does that bring you, back to me” Jamaa huyu ni bonge la villain binafsi namkubali.

Simuelewi Alex Luthor wa BATMAN VS SUPERMAN damn that guy is annoying as hell, ni character wa hovyo sana

Jesse Enseinbeg anaitwa
Mimi mshkaji namuelewa.

Thanos yes, jamaa ana strong will, respect.
 
Nimepita twitter nimeona kuna mtu amemtaja Arturito wa kwenye TV Series ya Money Heist kama "character" ambaye amewahi kumchukia tangu aanze kuangalia "movies" na "tv series".

Inawezekana wapo wengine humu ambao wanamchukia Arturito, of course jamaa ni fala sana, yaani anakera kwelikweli.
Lakini mimi binafsi "character" ambaye nimewahi kumchukia kiasi kwamba nikawa najisahau kabisa kuwa jamaa alikuwa anaigiza tu ni hii mashine hapa chini:


Anaitwa Ramsay Bolton, anapatikana katika "TV Show" ya Game of Thrones, huyo mpuuzi alikuwa ni katili balaa.
Nilikuwa namchukia huyu boya kiasi kwamba nilikuwa natamani niwavutie waya watayarishaji wa Game of Thrones ili niwaulize huyo mpuuzi atakufa kwenye season ya ngapi na episode namba ngapi.

Mambo yasiwe mengi, taja "character" uliyewahi kumchukia mpaka ukajisahau kuwa yupo kwenye kazi yake, yaani anachokifanya ni maigizo tu na anaifanya vyema kazi yake.
Dah hata mimi nilimchukia sana Ramsey haswa pale alipoivunja ile bikra ya yule mrembo na alimpo mkata dudu yule Greyjoy
 
Mimi alifikia kiwango kikubwa cha kinikera pale alipomuua Rickon Stark kwa mshale. Ile "scene" ilinisikitisha sana mkongwe.
No! Nooo! It's pork sausage, you think I'm sort of savage 😅😅

Hapo anamuambia Theon baada ya kumkata dudu yake
FB_IMG_16047678165897548.jpg
 
Back
Top Bottom