The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 37,832
- 82,361
Sio huyo mkuu, yule ni The boss1 a.k.a Papaa gxYule chizi wa Cheltako!?
Kha, napinga matokeo.
Sio huyo mkuu, yule ni The boss1 a.k.a Papaa gxYule chizi wa Cheltako!?
Kha, napinga matokeo.
Santeee mtoto mzuri,Shukrani mkuu
Nami nakubali avatar yako pia maana namkubali sana Henry Cavill
Hahaha iwe njema kwako kaka.Asee hy tarehe muhimu sana kwangu, sijajua nitakua wapi
Ni Iceberg9 (Henry Cavill)
......Woooooiiiiiii......utamfanya avimbe bichwa akati sio yeye.
Huyo jombaa na basta wao nimewatia kwenye kitengo cha ulinzi Na usalama kwenye mambo Haya hawahusiki kabisa
Hahahaha, mm mtazamaji tuNaona maruwe ruwe rafiki yangu.wewe kunakitu utakuwa umeona hebu nitonye..
Hahahaha kwann asijue banaNa hata sidhani kama anajua kuwa ninaizimia avatar yake loh.
Ninachoomba uamini yako imewazidi wote.
Iceberg kumbe ni wewe tunahangaika muda wote hongera SanaSanteee mtoto mzuri,
Ooh afadhali umetoa jibu ubarikiweNi Iceberg9 (Henry Cavill)
Yaan mi nashangaa huo msisimko anaoupata kwa picha za amberose ice ana vituko tu anataka kunichota akili
Ila we dada ni bangi
😅😅😅😅 kama huyo Mjapan wako sijui kama ulivyomuita ni mfupi baki nae kama ni mrefu tutawezana tu😆😆😆
Unapenda vinukta 😅😅......
Kwanzia lini😅Hahahaha, mm mtazamaji tu
ajue tu🤪🤪Hahahaha kwann asijue bana
Eti yangu unazimikia haya bana ahsante ,ila acha niamini vyote
Iceberg9 wewe ni jirani yangu wa miaka mingi sana..hebu ongea ukweli jirani unafikiri unaweza kuwa wewe na nisikwambie!!!aise kwako wewe sijawahi kuwa na uvumilivu wa Yesu pale msalabani amini usiamin😅Iceberg kumbe ni wewe tunahangaika muda wote hongera Sana Ooh afadhali umetoa jibu ubarikiwe
HahahahaIceberg9 wewe ni jirani yangu wa miaka mingi sana..hebu ongea ukweli jirani unafikiri unaweza kuwa wewe na nisikwambie!!!aise kwako wewe sijawahi kuwa na uvumilivu wa Yesu pale msalabani amini usiamin
OK sawa, hongera zake ,naona ushasema hatakiwi ajue , na wapambe hatutakiwi kujua piaHatakiwi
ajue tu
Siku zote, humu kuna mambo mengi ,ukiwa mtazamaji una enjoy sanaKwanzia lini
Sana, vyakukazia hoja hivyoUnapenda vinukta
Huu uchokozi umeuanza lini rafiki yangu😅😅OK sawa, hongera zake ,naona ushasema hatakiwi ajue , na wapambe hatutakiwi kujua pia
😅😅😅😅mtu chake bhana...hakuna cha kukazia mbona.hiyo ni miandiko hakuna cha maana chochoteSana, vyakukazia hoja hivyo
Hahahaha, Rafiki banaHuu uchokozi umeuanza lini rafiki yangu