augustino ameri
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 267
- 57
naomba msaada nahitaji kujua tairi za gari ndogo (saloon),aina ipi ni imara na ngumu na ni bora.naomba aliye na uelewa anijuze ,na tube pia.
naomba msaada nahitaji kujua tairi za gari ndogo (saloon),aina ipi ni imara na ngumu na ni bora.naomba aliye na uelewa anijuze ,na tube pia.
Linglong -mchina- lakini anadunda miaka minne. Bei sawa na bure! 50,000/Ziko Tairi za Mchina nzuri price mpaka 75,000/= Ila mimi nakushauri weka kitu mkataba ,Dunlop,Bridgestone na Michellin.....Vile vile achana na mambo ya Tube...go for Tubeless bhanaaa
Mi nnazo tangu 2012 hadi leo.... Nafikiria kuzibadili nikipata pesaLinglong -mchina- lakini anadunda miaka minne. Bei sawa na bure! 50,000/
Zilisha empire tangia 2017 mkuu tairi hukaa 5yrsMi nnazo tangu 2012 hadi leo.... Nafikiria kuzibadili nikipata pesa
Baada ya kupitia thread za tairi ndo nkawa nmeona namna ya kujua mwaka iliyotengenezwa.
Ziko Tairi za Mchina nzuri price mpaka 75,000/= Ila mimi nakushauri weka kitu mkataba ,Dunlop,Bridgestone na Michellin.....Vile vile achana na mambo ya Tube...go for Tubeless bhanaaa
Bei yake ikoje mkuu?