Tairi aina gani ni nzuri kwa gari ndogo?

augustino ameri

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
267
57
naomba msaada nahitaji kujua tairi za gari ndogo (saloon),aina ipi ni imara na ngumu na ni bora.naomba aliye na uelewa anijuze ,na tube pia.
 
Tairi nzuri mkuu ni MRF ukiweka hizo unasahau.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
JINYU ni nzuri na bei yake ni nafuu.Niliweka kwenye gari yangu mpaka sasa ina miaka 2 na kila siku natembea km 70 mpaka sasa ukiiona bado ni mpya price yake ni nusu ya bei ya kununua dunlop,michelin, bridgestone.
 
naomba msaada nahitaji kujua tairi za gari ndogo (saloon),aina ipi ni imara na ngumu na ni bora.naomba aliye na uelewa anijuze ,na tube pia.

Ziko Tairi za Mchina nzuri price mpaka 75,000/= Ila mimi nakushauri weka kitu mkataba ,Dunlop,Bridgestone na Michellin.....Vile vile achana na mambo ya Tube...go for Tubeless bhanaaa
 
Michellin,Firreli,Dunlop,bridgestone ni matairi ya ukweli. Mfuko wako utadetermine mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom