kila din inasali kwa njis yake, sii lazima makanisa yote tuungane hapana kila kanisa lisali liwezavyo kwa jins yake namanisha aic kivyao,eagt kivyao,islam kivyao ee hivyo, ila tu iwe siku moja na endelevu na iwe kimamlaka zaid.Taifa halina dini, na dini haziruhusu watu kushirikiana kwenye maombi kwa pamoja, wataweza vipi kufunga?
funga isiyoletwa na mungu, wala mtume hairuhusiwi, tunafuata vitabu na hatufuati mawazo ya mtu binafsikila din inasali kwa njis yake, sii lazima makanisa yote tuungane hapana kila kanisa lisali liwezavyo kwa jins yake namanisha aic kivyao,eagt kivyao,islam kivyao ee hivyo, ila tu iwe siku moja na endelevu na iwe kimamlaka zaid.
Ww na mungu nani anamtafuta mwenzie?funga isiyoletwa na mungu, wala mtume hairuhusiwi, tunafuata vitabu na hatufuati mawazo ya mtu binafsi
Hahaha unamanisha matambiko ni mazur kuliko kusali ama kweli wabongo bwanaNadhani tungekuwa na Tambiko la Kitaifa kila mwaka ingeleta maana zaidi.
Nimeshuhudia matambiko yakileta mabadiliko chanya lakini sijawahi kupata ushuhuda wa maombi na sala zaidi ya kusikia kwenye vyombo vya habari na ushuhuda third party...
Ikiwa wanafanya mambo yasiyompendeza mungu basi uo ni uovu, nje!Unataka tufanye uovu?Ww na mungu nani anamtafuta mwenzie?
Halafu mi nimewasilisha,mawazo binafsi ndo huwa mawazo ya weng,huoni kwamba kuna mambo yanafanywa yasiyo mpendeza mungu?
Ndio, ninamaanisha hivyo! Kusali ni kupoteza muda nguvu na fedha, ukizingatia karibia wanaosali wote ndio wadhambi wenyewe wa baadae. Matambiko kwanza...Hahaha unamanisha matambiko ni mazur kuliko kusali ama kweli wabongo bwana