Taifa stars walipoogopa kupigwa picha wakiwa wametinga suti!!

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
Hii nayo vp?hawataki waonekane wamevaa suti au?
 
Attachments

  • TAIFA_STARS.jpg
    TAIFA_STARS.jpg
    22.5 KB · Views: 235
i1406_7488d1262893600taifastarswalipoogopakupigwapichawakiwawametingasutitaifastars.jpg

Tatizo wachezaji wetu wengi ni watoto wa uswahilini
Ustaarabu F...
aaah acheni wajipatie riziki...
wakale wapi?
 
i1406_7488d1262893600taifastarswalipoogopakupigwapichawakiwawametingasutitaifastars.jpg

Tatizo wachezaji wetu wengi ni watoto wa uswahili
Ustaarabu F...
aaah acheni wajipatie riziki...
wakale wapi?

hivi Pape kuvaa suti ndo kipimo cha ustaarabu??? mavazi yanategemea na shughuli ya mtu, umbo/muonekano nk.
 
hivi Pape kuvaa suti ndo kipimo cha ustaarabu??? mavazi yanategemea na shughuli ya mtu, umbo/muonekano nk.
tatizo sio kuvaa suti...
embu angalia hapo wamesimama ili wapigwe picha!!
vipi unakubaliana na pozi lao?
angalia hao mikono machoni...
wengine wanainama chini....
 
tatizo sio kuvaa suti...
embu angalia hapo wamesimama ili wapigwe picha!!
vipi unakubaliana na pozi lao?
angalia hao mikono machoni...
wengine wanainama chini....

hawajazoea jamani,ingekuwa zile 'jezi' zao aaaaah mashallah ungeona pozi za kifutibal hapo!!!

suti bana 'is not their thing' Pape!!!
 
hawajazoea jamani,ingekuwa zile 'jezi' zao aaaaah mashallah ungeona pozi za kifutibal hapo!!!

suti bana 'is not their thing' Pape!!!
good observation dia
btw wapi zd?
 
hawajazoea jamani,ingekuwa zile 'jezi' zao aaaaah mashallah ungeona pozi za kifutibal hapo!!!

suti bana 'is not their thing' Pape!!!

HAahaha
Lazima wafahamu kuna nguo za mpira na zisizo za mpira, walitaka waende Hotelini na bukta zao?? Huyo aliyesema tatizo la wachezaji wetu ni vijana wa kijiweni naungana naye
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom