Hii nayo vp?hawataki waonekane wamevaa suti au?
Tatizo wachezaji wetu wengi ni watoto wa uswahili
Ustaarabu F...
aaah acheni wajipatie riziki...
wakale wapi?
tatizo sio kuvaa suti...hivi Pape kuvaa suti ndo kipimo cha ustaarabu??? mavazi yanategemea na shughuli ya mtu, umbo/muonekano nk.
tatizo sio kuvaa suti...
embu angalia hapo wamesimama ili wapigwe picha!!
vipi unakubaliana na pozi lao?
angalia hao mikono machoni...
wengine wanainama chini....
good observation diahawajazoea jamani,ingekuwa zile 'jezi' zao aaaaah mashallah ungeona pozi za kifutibal hapo!!!
suti bana 'is not their thing' Pape!!!
hawajazoea jamani,ingekuwa zile 'jezi' zao aaaaah mashallah ungeona pozi za kifutibal hapo!!!
suti bana 'is not their thing' Pape!!!
good observation dia
btw wapi zd?