Taifa stars vs Uganda

Timu ya Mgunda haina jipya. Labda tutavuka maana Wazanzibar wamepigwa na Kenya.
 
Kama TBC yenyewe haioneshi mpira unategemea uzalendo utatoka wapi? Mambo ya uzalendo tuwaachie wakenya maana ingekuwa ndiyo kenya inacheza tungeona mechi inarushwa KBC live
Uzalendo umeshuka Sana yaani hakuna mtu wa kuleta matokeo...hata mod hawajauona huu Uzi,wangenirekebishia Uzi wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom