Taifa stars vs Misri: Kocha umetuangusha kwa kupanga wachezaji wengi wa Yanga

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Kocha / mchezaji wa Yanga/kocha msaidizi yanga Bw.Mkwasa Leo amechezesha wachezaji wa timu yake licha ya kuwa chini ya viwango.

Watanzania tuache ushabiki wa yanga Na simba Na kuwachukia wachezaji wa zuri wa timu nyingine.

Leo Mkwasa ameanua kutuchinjia uwanja wa taiga hivi hivi akiwapanga wachezaji vilaza ili mradi in wa yanga haya bwana.

Yanga 0 Misri 2
 
Tutashindwa sana, tena ktk mambo mengi sana na michezo tu maana tuliisha kosea siku nyingi. Hata tunaodhani wangeligundua kosa hilo, na wao ukiwasikiliza wanatoa hotuba, unagundua kuwa hata wao hawajui kama hatuko sawasawa.

Mungu tusaidie sana.
 
Hebu niende kwenye thread za Tanzaniaa ya viwanda
Mana huku tumeshafail siku nyiiiiingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Baba Jesca ana kazi kubwa sana
 
Kocha / mchezaji wa Yanga/kocha msaidizi yanga Bw.Mkwasa Leo amechezesha wachezaji wa timu yake licha ya kuwa chini ya viwango.

Watanzania tuache ushabiki wa yanga Na simba Na kuwachukia wachezaji wa zuri wa timu nyingine.

Leo Mkwasa ameanua kutuchinjia uwanja wa taiga hivi hivi akiwapanga wachezaji vilaza ili mradi in wa yanga haya bwana.

Yanga 0 Misri 2

Sina hakika na hoja ya kwamba wachezaji wengi wa Yanga wametuangusha...ila yule beki wa kushoto sijui anaitwa Mwinyi ametuangusha sana....alikuwa uchochoro...Samatta naye ametuangusha, golikipa (kwa goli la kwanza) na wachezaji wote wa Kiungo... Kingine ule mfumo wa timu yetu wa kujifanya tuna-possess mpira hautufai...Waarabu huwezi kuwafunga kwa kupasiana mpira, utawafunga kwa direct attacking football, kwa mpira wa kasi, krosi na mashuti makali. Ukiacha Mwinyi mabeki wengine wote walicheza vizuri..viungo wale sijui Mao na Kazimoto ni sifuri kabisa, hawajui kujipanga...Haya ni maoni yangu binafsi kama 'mtaalamu' wa soka...
 
naona ni mwendezo wa chuki dhidi ya yanga. yanga ilikuwa na wachezaji wanne tu: dida, abdul, mwinyi na kaseke.
 
Mwinyi ametuangusha sana....alikuwa uchochoro...

Ndiyo, ametuangusha, lakini nilikuwa sitegemei kwamba Mwinyi au beki yeyote wa stars angeweza kummudu Mohamed Salah. Kumbuka Salah kule kwenye club yake ya Roma anawaweka bench strikers wawili wenye majina ...Toti and Dzeko
 
tatizo linaanzia hapa. tunaacha kuijadili taifa stars tunaijadili yanga, tutaacha kututafuta vipaji na kuwajenga wachezaji wa taifa tutakuwa kila siku tunamzungumzia samatta. yaani samata akifunga goli taifa zima linachachawa atazungumziwa wiki nzima. kwa mwendo huu hatuwezi
 
Tatizo kocha tu hatuko serious kwenye michezo huwezi kumiambia mkwasa au mzawa yeyote angeweza kutuvusha
 
Mataifa yanayojua mpira na wanaweka mokocha wa maana wenye vyeo vya juu vya ukocha alafu sisi tanzania ambao ndiyo tunatakiwa tuweke proffesional coaches tunaweka mkwasa aibu
 
Ndiyo, ametuangusha, lakini nilikuwa sitegemei kwamba Mwinyi au beki yeyote wa stars angeweza kummudu Mohamed Salah. Kumbuka Salah kule kwenye club yake ya Roma anawaweka bench strikers wawili wenye majina ...Toti and Dzeko

Nimekuelewa sana...Uko sahihi...Kocha na wachezaji wetu hawakuwa na mpango wa kukabiliana na hilo...Kocha alipaswa kuweka 'covers' kwa maana kutomwacha Mwingi peke yake kutokana na mbio za Salah...sasa mabeki wetu walikuwa wanapanda mbele 'kifala' na mpira ukipigwa unamkuta Mwinyi na Salah bila kuwepo na 'covers' au strategy ya kukabiliana na hilo...my take: nadhani Boniface kama kocha, bado....
 
Back
Top Bottom