TAIFA STARS ni Siasa pia

Wed

JF-Expert Member
Mar 7, 2011
315
266
Wazee mtanihurumia kwa kuweka hii thread hapa. Uzalendo ndio unaonisukuma kuiweka hapa !
Timu Tayari zipo uwanjani ndiyo zinakaguliwa.
Nawaombea heri Taifa Stars !

Rojadirecta.me - sportlivecenter

Unaweza pia kubonyeza hapa

ROJADIRECTA : Futbol Gratis Online - Ver Partidos Gratis en Internet Directo y Futbol Internacional

na tafuta Morocco. Utapata chini kwenye list ndefu Morocco - Tanzania. Bonyeza hapo utapata kama vituo 6 vinavyorusha hii mechi.


Sasa ni mapumziko magoli ni
Tanzania 1
Morocco 1
 
Morocco waanza kwa kushambulia hasa. Wametukosa kosa
 
Tanzania bana,tupo kundi hapa tukitaraji kodi zetu zinaweza kutuweza kuiona timu yetu live lkn matumaini yanazidi kupotea,ina maana tbc1 wamechemka kabisa.
 
Ahsante kwa taarifa.

Ok, hakuna maneno.

Zipo chanel kathaa zinazotangaza. Hii hapa wapo tarari dk ya 10 wakati ile niliyotuma ya kwanza wapo dk ya 3 sasa

Mashambulizi ni mengi sana golini kwetu
 
Mkuu taja kikosi chetu basi, hata tukifungwa 2 kipindi cha 1 si neno
 
Duh naona kwangu haifunguki channel yoyote!! Mkongo wa Taifa haujanifikia! Tuarifu yanayojiri mkuu
 
dk ya 20 Chamakh anapata bao la kwanza
amefunga kwa kichwa
 
Wachezaji wa tanzania siwafahamu viruzi hivyo sijaweza kupata listi yao

Tz inakosa bao dk ya 22

magoli bado ni m 1 kwa morocco na 0 kwa Tz
 
dk ya 23 morocko wanakosa bao la wazi

dk ya 26 A Rajabu anapewa kadi ya manjano
 
dk ya 30 Kasseja anafanya kazi nzuri sana ya kuokoa mpira la siyo tungeweza kkuliswa tena
 
Tanz bado hawajatulia kabisa. Wanapoteza mipira mingi.
 
Back
Top Bottom