spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,220
Kutolewa mapema ktk AFCON 2019 kwa Kenya na Tanzania tena kwa vipigo hatarishi ilitosha kutoa muelekeo Algeria na Senegal katika Mashindano haya.
Timu ya Senegal ya kwanza ubora africa imetinga nusu fainali baada ya kudondosha Benin timu yenye mastaa wanaosakata kambumbu Ulaya pia
Timu ya Algeria imetinga nusu Fainali baada kuwaondoa wanaojiita Simba wa Teranga wala kakao wa Ivory Coast
Yajayo Yanafurahisha SEMI FINALISTS
TUNISIA VS SENEGAL
NIGERIA VS ALGERIA
Mshindi ktk kila upande kuingia fainali.
Kuna uwezekano mkubwa Senegal na Algeria wakakutana fainali.
Nini maoni yako ktk hatua hizi za mwisho mwisho