Taifa stars inaweza chukua AFCON 2019

Yuko wapi aliyepost huu uzi?
c43dabdedd96cdf91bc56d5a66d53ca8.jpg
 
If ikitokea.wana JF wote nawanunulia Boeing 737.kwa ajili ya kuendea kazini.(zile za kiafrika lakin)🚶🏼🚶🏼🚶🏼
 
Naomba msinipige mawe kabla sijaeleza.

1. Nimeangalia timu zote sijaona timu ambayo ina mastars wengi kama miaka ya nyuma. Timu nyingi zina wachezaji toka timu za kawaida sana labda na star mmoja.

Mfano Nigeria ina Iwobi pekee yake ambaye yupo kwenye timu bora. Wengine ni timu ambazo naweza sema za kawaida.

2. Wakibadili mindset na kuona wao wana haki ya kuchukua kombe na wakakomaa inawezekana.. ninapo sema kukomaa yaani ile mkifungwa mnatoa hadi machozi kama brazil ilivyo fungwa na germany . Sasa utakuta timu imefungwa michezaji inacheka au inapongezana .

3. Wakicheza kama timu na kuacha show off .. watapiga senegal na kenya mabao mengi sana. Ila wasipo cheza kama timu taifa star ni mboga ya kila mtu.

4. Wakiacha ushamba na uzembe watafanya vizuri.

5. Waache kulaumiana.

Ni zamu yetu kubeba kombe.
Senegal wameacha wachezaji 10+ wote wanacheza Europe, point yako ya kwanza hoja yako/imeua Uzi wako wote sijataka hata kuendelea kusoma.

Tz tukijitahidi nikuingia group stage,japo mimi kufuzu tu inatosha
 
so funny, very very funny!!! Jamaa mwenyewe anajiita tabu tupu
Anajiita Tabutupu kwa sababu ya watu kama ninyi ambao mnaishi ķwa kukata tamaa. Ushindi unaanza na fikra kwanza na mwili ndipo hutenda. Unanyong'onyea hata kujipa moyo!? Nitakuwa na Tabutupu kuwaburuza mahakamani tukitoboa.
 
Umeongea kama malaika.
 
Kupata vichekesho kama hivi jiunge jamiiforum.com
NAOMBA MNIPIGE MAWE KWA HIZI PUMBA kabla sijaeleza.

1. Nimeangalia timu zote sijaona timu ambayo ina mastars wengi kama miaka ya nyuma. Timu nyingi zina wachezaji toka timu za kawaida sana labda na star mmoja.

Mfano Nigeria ina Iwobi pekee yake ambaye yupo kwenye timu bora. Wengine ni timu ambazo naweza sema za kawaida.

2. Wakibadili mindset na kuona wao wana haki ya kuchukua kombe na wakakomaa inawezekana.. ninapo sema kukomaa yaani ile mkifungwa mnatoa hadi machozi kama brazil ilivyo fungwa na germany . Sasa utakuta timu imefungwa michezaji inacheka au inapongezana .

3. Wakicheza kama timu na kuacha show off .. watapiga senegal na kenya mabao mengi sana. Ila wasipo cheza kama timu taifa star ni mboga ya kila mtu.

4. Wakiacha ushamba na uzembe watafanya vizuri.

5. Waache kulaumiana.

Ni zamu yetu kubeba kombe.
 
Naomba msinipige mawe kabla sijaeleza.

1. Nimeangalia timu zote sijaona timu ambayo ina mastars wengi kama miaka ya nyuma. Timu nyingi zina wachezaji toka timu za kawaida sana labda na star mmoja.

Mfano Nigeria ina Iwobi pekee yake ambaye yupo kwenye timu bora. Wengine ni timu ambazo naweza sema za kawaida.

2. Wakibadili mindset na kuona wao wana haki ya kuchukua kombe na wakakomaa inawezekana.. ninapo sema kukomaa yaani ile mkifungwa mnatoa hadi machozi kama brazil ilivyo fungwa na germany . Sasa utakuta timu imefungwa michezaji inacheka au inapongezana .

3. Wakicheza kama timu na kuacha show off .. watapiga senegal na kenya mabao mengi sana. Ila wasipo cheza kama timu taifa star ni mboga ya kila mtu.

4. Wakiacha ushamba na uzembe watafanya vizuri.

5. Waache kulaumiana.

Ni zamu yetu kubeba kombe.
Yacine brahim, riyad mahrez hao wawili kwa algeria ni sawa na wetu saba
 
Sijakuelewa, unamaanisha tusiwaogope Algeria kwakuwa wachezaji wao wanacheza saudia? Juzi tu walitupiga saba
Sijasema tusiwaogope ila wanafungika mkuu.. wengi wao wanacheza vilabu vya kawaida sana.
 
Umenichekesha hapo kwenye mboga ya kila mtu 😂 😂 😂 😂 😂 🙌 🙌
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom