Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,783
- 66,961
Yuko wapi aliyepost huu uzi?
Senegal wameacha wachezaji 10+ wote wanacheza Europe, point yako ya kwanza hoja yako/imeua Uzi wako wote sijataka hata kuendelea kusoma.Naomba msinipige mawe kabla sijaeleza.
1. Nimeangalia timu zote sijaona timu ambayo ina mastars wengi kama miaka ya nyuma. Timu nyingi zina wachezaji toka timu za kawaida sana labda na star mmoja.
Mfano Nigeria ina Iwobi pekee yake ambaye yupo kwenye timu bora. Wengine ni timu ambazo naweza sema za kawaida.
2. Wakibadili mindset na kuona wao wana haki ya kuchukua kombe na wakakomaa inawezekana.. ninapo sema kukomaa yaani ile mkifungwa mnatoa hadi machozi kama brazil ilivyo fungwa na germany . Sasa utakuta timu imefungwa michezaji inacheka au inapongezana .
3. Wakicheza kama timu na kuacha show off .. watapiga senegal na kenya mabao mengi sana. Ila wasipo cheza kama timu taifa star ni mboga ya kila mtu.
4. Wakiacha ushamba na uzembe watafanya vizuri.
5. Waache kulaumiana.
Ni zamu yetu kubeba kombe.
Kenya naye anahesabia kuchukua kwetuMbona Rahis sana..
Kenya tunawafunga point 3
Algeria tunawafunga point 3 jumla 6.
Senegal tuna drow au kufungwa.
Anajiita Tabutupu kwa sababu ya watu kama ninyi ambao mnaishi ķwa kukata tamaa. Ushindi unaanza na fikra kwanza na mwili ndipo hutenda. Unanyong'onyea hata kujipa moyo!? Nitakuwa na Tabutupu kuwaburuza mahakamani tukitoboa.so funny, very very funny!!! Jamaa mwenyewe anajiita tabu tupu
Umeongea kama malaika.Anajiita Tabutupu kwa sababu ya watu kama ninyi ambao mnaishi ķwa kukata tamaa. Ushindi unaanza na fikra kwanza na mwili ndipo hutenda. Unanyong'onyea hata kujipa moyo!? Nitakuwa na Tabutupu kuwaburuza mahakamani tukitoboa.
Tuko pamojaUmeongea kama malaika.
NAOMBA MNIPIGE MAWE KWA HIZI PUMBA kabla sijaeleza.
1. Nimeangalia timu zote sijaona timu ambayo ina mastars wengi kama miaka ya nyuma. Timu nyingi zina wachezaji toka timu za kawaida sana labda na star mmoja.
Mfano Nigeria ina Iwobi pekee yake ambaye yupo kwenye timu bora. Wengine ni timu ambazo naweza sema za kawaida.
2. Wakibadili mindset na kuona wao wana haki ya kuchukua kombe na wakakomaa inawezekana.. ninapo sema kukomaa yaani ile mkifungwa mnatoa hadi machozi kama brazil ilivyo fungwa na germany . Sasa utakuta timu imefungwa michezaji inacheka au inapongezana .
3. Wakicheza kama timu na kuacha show off .. watapiga senegal na kenya mabao mengi sana. Ila wasipo cheza kama timu taifa star ni mboga ya kila mtu.
4. Wakiacha ushamba na uzembe watafanya vizuri.
5. Waache kulaumiana.
Ni zamu yetu kubeba kombe.
Yacine brahim, riyad mahrez hao wawili kwa algeria ni sawa na wetu sabaNaomba msinipige mawe kabla sijaeleza.
1. Nimeangalia timu zote sijaona timu ambayo ina mastars wengi kama miaka ya nyuma. Timu nyingi zina wachezaji toka timu za kawaida sana labda na star mmoja.
Mfano Nigeria ina Iwobi pekee yake ambaye yupo kwenye timu bora. Wengine ni timu ambazo naweza sema za kawaida.
2. Wakibadili mindset na kuona wao wana haki ya kuchukua kombe na wakakomaa inawezekana.. ninapo sema kukomaa yaani ile mkifungwa mnatoa hadi machozi kama brazil ilivyo fungwa na germany . Sasa utakuta timu imefungwa michezaji inacheka au inapongezana .
3. Wakicheza kama timu na kuacha show off .. watapiga senegal na kenya mabao mengi sana. Ila wasipo cheza kama timu taifa star ni mboga ya kila mtu.
4. Wakiacha ushamba na uzembe watafanya vizuri.
5. Waache kulaumiana.
Ni zamu yetu kubeba kombe.
Hakikisha umewapelekea kikapu Cha kubebea... "8 jumla"Zamu yetu kufunga...
Sijakuelewa, unamaanisha tusiwaogope Algeria kwakuwa wachezaji wao wanacheza saudia? Juzi tu walitupiga sabaHata usihangaike.. kikosi cha algeria hiki hapa.. watu wanacheza saudi arabia ..View attachment 1125961
Sasa kama Algeria wanacheza vilabu vya kawaida wakwetu wanacheza vya aina gani?Sijasema tusiwaogope ila wanafungika mkuu.. wengi wao wanacheza vilabu vya kawaida sana.