Taifa Stars Ina Nafasi Kubwa ya Kuipiga Rwanda kwa Kumtumia Raphael Daudi

Baba Kiki

JF-Expert Member
May 31, 2012
1,544
940
Wadau, leo ni hukumu ya kikosi cha Taifa Stars dhidi ya Amavubi a.k.a. Nyigu kutoka Kigali. Ni mchezo wa pili baada ya kukutana wiki iliyopita na kushuhudia timu hizi zikigawana pointi kwa kutoka sare ya kufungana goli moja moja, jijini Mwanza.

Katika mchezo uliopita kikosi hiki cha Salum Mayanga kiliwafadhaisha kabisa Watanzania kwa kucheza mpira mbovu na kutengeneza nafasi chache sana, huku Rwanda iliyokuwa ikishambulia kwa kushitukiza ikionekana kuwa hatari zaidi licha ya kutumia janja janja ya kupoteza muda.

Baada ya kuitazama timu ilivyocheza, nimegundua udhaifu mkubwa ulitokana na kikosi kupangwa vibaya na kitendo cha kocha Mayanga kuwapa heshima kubwa Rwanda isivyostahili. Hapakuwa na sababu yoyote ya kuweka viungo wawili wenye mentality ya ulinzi ambao ni Erasto Nyoni na Himid Mao kwa timu kama Rwanda tena nyumbani. Timu ilishindwa kutembea vizuri katikati ya uwanja na kumfanya mshambuliaji pekee John Bocco awe isolated. Mawinga Msuva na Kichuya wanaopenda nafasi pana kidogo walibanwa vizuri na kutokuwa na msaada mkubwa katika eneo la ushambuliaji.

Mayanga kama anataka kuambulia chochote leo analazimika kufunguka kwa kumpanga Rafaeli Daudi kama namba 10! Raphael na John Bocco wakicheza karibu-karibu, watakuwa hatari sana kwa defensi ya Rwanda na tunaweza kuushudia 'utamu' halisi wa John Bocco kama atapenyezewa mipira ya mbele na kukutana na golikipa on one-against-one. Isitoshe, Raphaeli ni aina ya kiungo anaweza kupiga chenga hadi walinzi 3 bila wasiwasi wowote hata ktk eneo dogo na anapiga 'mawe' ya rebound muda wowote ule kwa hiyo ni aina ya mtu atakayekuwa surprise kwa timu Rwanda.

Ili kuimarisha ulinzi, Mayanga ampeleke Nyoni beki ya kulia, kushoto atabaki Gadiel Michael huku walinzi wakibaki Nurdin Chona na Mbonde wakilindwa na Himid Mao kama holding midfielfer na Mzamiru Yassin achezeshe timu kwa staili yake ya box to box midfieder. Natamani mmoja kati ya Kichuya na Msuva aanzie benchi lakini naamini kwa uonga wa Mayanga atalazimisha waanze pamoja lakini kwa ukweli huwa sioni tija wanapoanza pamoja. Hawa wanastahili kugombania namba!!!

Lineup ya Ushindi inapaswa kuwa;

1. Manula
2. Nyoni
3. Gadiel
4. Mbonde
5. Chona
6. Mao
7. Msuva
8. Mzamiru
9. Bocco
10. Raphael
11. Kichuya
 
Nadhani umesahau kupendekeza Nduda awe mshambuliaji kwa mtanange wa leo
 
Mpangilio mzuri ila mi naona namba 1 ungemuweka saidi Mohamed. Afu kwani mechi saa ngapi bhandugu?
 
Inamaana yanga leo hawachezi kabisaa...timu gani hiyo imejaa simba na azam?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi ya Rwanda na Tanzania ipo live kwenye channel ya Online Tv Entertainment- kama upo mbali na tv yako itazame live kwenye app ya Online Tv kwa kuidownload hapa http://bit.ly/2n5MhHo kisha chagua category ya East Africa then bonyeza Online Tv Entertainment
 
Back
Top Bottom