TAIFA STARS 2 - 4 IVORY COAST: Quick transitions downs stars

Please explain more in details about this, as I know there is always a lot to take/learn from your analysis.
 
They foiled our attacking moves and made quick forward-looking passing leading to surprise-lethal-counter-attacks that caught our defenders unprepared....:disapointed:
 
kufanya nini na hii mizengwe yenu ya simba na yanga labda simba na yanga wakibadilika kua kama azam sawa alafu wawape nafasi watoto kama ncha hamis na ulimwengu

sipo ndani ya nchi, sifatilii sana ligi ya bongo lkn mimi ni Simba..ni vizuri kuwa na klabu nyingine zaidi ambazo zinaweza shindana kama simba na yanga
 
sipo ndani ya nchi, sifatilii sana ligi ya bongo lkn mimi ni Simba..ni vizuri kuwa na klabu nyingine zaidi ambazo zinaweza shindana kama simba na yanga

sasa na ndio ujue ttimu yako ya simba inafundishwa na kocha lakini timu wanapanga viongozi tena kwa kulazimisha viongozi ambao hata danadana hawajui kuopiga ikifungwa wanamlaumu kocha hana kiwango tutaweza kuwafunga ivory cost
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom