Taifa stara ikiifunga Uganda cranes, nahama Tz

cha1509

JF-Expert Member
Jul 6, 2018
258
402
Kuna msemo wa wahenga wetu husema miluzi mingi humpoteza mbwa, ndicho nachokiona kwenye timu yetu iliyotawaliwa na usimba na uyanga kuanzia bechi la ufundi, wachezaji na washangiliaji!

Nimejikuta nikikosa ujasiri wa kushabikia timu yangu ya taifa, na inshallah jumapili nitakuwa nashngilia Uganda cranes kuepuka AIBU YA TAIFA, maana Waganda hawatatuchukulia poa eti kwa kuwa wao wameshafuzu basi walirux , IMPOSSIBLE!

nawaonea huruma San ninyi wenye kiherehere sijui mtazificha wapi nyuso zenu baada ya mpira kuisha, jifunzeni kusoma alama za nyakati.

Heko Uganda cranes, Mungu atusaidie ututie adabu magoli matatu kwa moja, utusaidie moja tu la kufutia machozi! Maana sisi hatujawahi kuwa tayari na umakini na mashindano haya, bora TUPIGWE TU, TENA KIPIGO CHA MBWA KOKO IKIWEZEKANA.

Kocha hafatilii ligi yetu, yeye Amu mara nyingi anakuwa anakula bata kwao tu, utegemee aje afanye maajabu? Nina uhakika kuna baadhi ya wachezaji hawajui kwa sura na majina tofauti na kuambiwa na benchi la ufundi lake ambalo limejaa usimba na uyanga, Uganda tupigeni, mimi niko nyuma yenu, kwanza hii n Afrika Mashariki, ipo siku naweza kuja kuishi kwenu!

Wasalaam
Uganda cranes piga Taifa stars 3:1 jumapili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya bwana SHAFII DAUDA tumekusikia
 
Back
Top Bottom