Taifa Star kesho fanyeni mambo!

Kyakashombo

Senior Member
Oct 13, 2018
150
232
Kesho nina matumaini makubwa sana na timu yangu ya Taifa, kocha panga watu wazuri wa kutupa ushindi usiangalie eti kwa kuwa anacheza nje ya nchi basi yuko vizuri!
 
Tukijitahidi saaaana tutapata drooo (tukimtumia gwiji la benchi la ufundi la yanga)
 
Back
Top Bottom