ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,062
- 6,197
Yule mwenye bluu ndie mgonjwa aghali zaidi Africa ya Mashariki.Mama kanyaga hao kima!👏👏👏
View attachment 1784595
Yule mwenye bluu ndie mgonjwa aghali zaidi Africa ya Mashariki.Mama kanyaga hao kima!👏👏👏
View attachment 1784595
Yule mwenye bluu ndie mgonjwa aghali zaidi Africa ya Mashariki.Mama kanyaga hao kima!👏👏👏
View attachment 1784595
Na kweli, hamna cha kupoteza! Mmeshpoteza yesu wenu wa lugola, mtapoteza nini tena, labda maisha yenu tu sasa!!Mama mwenye nyumba anashikwa masikio mitandaoni kwa masilahi ya kundi fulani. Wakati anaingia alitaka kubalance viongozi wake kwa uwiano sawa kati ya wavaa vibarakashia na wale wa misaraba. Hili swala liliwashitua sana wavaa misaraba kwan ni kitu ambacho hawakukitarajia wala kukizoea. Wakaingia mitandaoni na baada ya hapo mama akarudi kule kule kwa wenye misaraba 10 au 15 huku vibarakashia wakiwa 1 au 2 ktk teuzi zake. Sasa hivi kuna kundi lingine ambalo linapigania masilahi na uhai wa chama chao mitandaoni, mama mwenye nyumba ameonekana kuwaelewa na kufanya yale wanayoyataka. Yetu macho wengine tunachangia tu lkn hatuna cha kupoteza.
Unataka kufufua mambo? Bomu la Soweto linamhusu? Dk Mollel alisemaje?Ushahidi sio wa kutafuta, ni kwakuwa huyo mama anatumia tabia ya ccm ya kufichiana uovu. Lakini huyo mama akikubali ushahidi uwekwe wazi, anafungwa hata wiki ijayo. Huyo dogo mpaka bomu la soweto kwenye mkutano wa Cdm huko Arusha anajua taarifa zake. Huyo dogo ni muovu kama yule dhalimu unayelinda hilo kaburi lake.
Kama anajua makosa yake alitakiwa amtumbue.Tatizo nililoliona kwenu nyinyi pingapinga kwanza hamjui kujenga hoja, mna MIHEMKO Sana.
Kumbukeni Raisi kabla hajaingia uraisi alikua makamu wa Raisi. Anaifahamu hii nchi na visa vyake vyote. Na SASA kwa MIPANGO ya Mungu yeye ndo Raisi. Ana uzoefu wa uongozi wa kutosha, Tena uliotukuka.
Eleweni uraisi ni taasis. Na mama hajakurupuka kabisaaa. Ndo maana kajipa muda halafu akamsimamisha kupisha uchunguzi. Na huo ndo utaratibu. Nyinyi mlitaka mtu Ana malalamiko chungu nzima mpaka kapiga kada wa chama chake mwenyewe, achunguzwe akiwa ofisini??
Nyinyi ni wakurupukaji. Mwacheni mama yetu atuongoze, na ninaamini atatenda haki. NAYAZUNGUMZA HAYA nikiwa CCM pure, kindakindaki. Maana mnazusha eti Wana ccm hawapendi maamuzi ya mama, eti wamekasirika. Sisi tunaokitakia chama mema tupo bega kwa bega na mwenyekiti wetu na Amiri jeshi mkuu naa Raisi wetu her excellence hon. Samia Suluhu Hassan.
Huu ujinga wa neno "mtumbue" tulishauzika, na hatujawahi kulisikia hili neno tokea tupate uhuru, until tulivyoingizwa chaka na kuwapa nchi washambaKama anajua makosa yake alitakiwa amtumbue.
Unajuaje kama bado hajapata ushahidi?... Kiongozi makini husubiri kupata ushahidi ili aweze kufanya maamuzi sahih.
Kuweni wastahamilifu ndugu zangu. Mbona mwenda zake pamoja faulo zote alizocheza mlikaa kimyaaaaaa kama maji mtungini. Mbona mnataka kumhukumu mama kwa miezi miwili tu? Tumpeni mama muda ajipange na apange safu yake.Ndio tunachotaka atekeleze miradi tutampa kura tofauti na hapo tutamfurusha yeye na CCM yake
Unataka kufufua mambo? Bomu la Soweto linamhusu? Dk Mollel alisemaje?
Mimi sitetei mtu, kama ana makosa na ushahidi upo wazi kwa nini asitumbuliwe?
Jibu unalo, kaa kimya usigusie mabomu ya Arusha.Dr. Mollel si angepeleka huo ushahidi maana yuko ccm na hizo mahakama zinaitii ccm? Kwa sasa ccm ikiendelea kuwa madaraka huo ukweli hautakaa ufahamike maana kuna kulindana, ila iko siku.
Nikalie kimya uovu?Jibu unalo, kaa kimya usigusie mabomu ya Arusha.
Lini ccm ilitegemea kura yako? Hata mnaemuabudu hakutegemea kura zenu.Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.