Elections 2010 Taifa linaelekea utumwani

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
“Ninasema hivyo, kwa sababu hivi sasa watu wachache wenye nguvu ya fedha wanaamua mustakabali wa viongozi kwa maslahi yao binafsi,”
Rais aliyechaguliwa kwa uovu, kamwe hawezi kutenda haki na badala yake atacheza muziki mmoja na mafisadi.

Sasa tusubiri kutumikishwa kama Punda,,, kwasababu Segerea uovu mtupu Mpendazoe kashinda wamtangaza mahanga,, Wakati Alikamatwa na mabox ya kura kibao akiyapeleka ili wachakachue,, Takukuru wakamuacha aendelee na uchaguzi, na tume pia bila aibu imemtangaza..
Sisi watumwa tu, inabidi tukubali utumwaaaaaa

Watanzaia watumwa oooyeeeee
 
Ilianzia hapa.....jamaa wame m-dilute kabisa

mrema1bc.jpg
 
Hahahahahahahah jamaa katoka kichizi yaani katoka ile mbaya
 
Hisia kali kwani babu zetu walitawaliwa vipi? walikuwa wanaujua ukweli lakini kuukosoa wanaogopa
 
Lakini mambo yamesha anza kumnyookea huyo kapata pa kujishikiza
 
Mrema, kapiga suti na raba, hhahah hahaha hahah ahahahaha ahahaha ahha ah

Hii style aliyopiga Mrema nimeizimia sana hata mimi nimeshaiiga napiga hii style kwenye Harusi ya Sister yangu!:smile-big:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom