Taifa linaaibika kwa uzembe huu

Msamiati

R I P
Mar 6, 2011
1,068
0
Mimi hivi vyuo vyetu nashindwa kuvielewa kabisa, yaani vimekuwa vikizalisha madudu mpaka basi. Sasa angalia Website kubwa kama ya Brella inaweka error za kipuuzi kabisa kama hii, Hii si aibu kwa Taifa hii!!

Mi naomba huyu jamaa apumzishwe kazi angalau hiyo nafasi apewe mtu mwingine. Yaani tunataka mpaka kazi ndogo ndogo zhizi wapewe watu kutoka nje!?

Najuta kuwa Mtanzania, Hatakama bahati mbaya kama hii inatokea wakati wa web maintanance ni kitendo cha dk moja tu kurekebisha Apache webroot. Hata mimi ambaye sijasoma siwezi kuruhusu huo uzembe.

Serikali Boresheni mfumo wa elimu taifa lina aibika. Muwekezaji, akitaka kufanya dili hapa Tanzania cha kwanza kutembelea ni Brella leo akiingia na kukuta hiyo error kwa zaidi ya masaa matano ataona nchi nzima wasanii kuanzia raisi, mpaka mtendaji wa kijiji shwain...

Hebu uchukulieni kuwa na huu ni ufisadi kama RichMond Maana katika hali kama hii sijui January makamba anafanya nini ofisini.

Screenshot from 2014-12-04 10:21:40.png
cc: Mphamvu
 

Attachments

  • Screenshot from 2014-12-04 10:21:40.png
    File size
    45.4 KB
    Views
    179

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom