Taifa lina Rais gani asiyependa kuongea na wananchi?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Jamani mwisho wa mwaka baada Rais atokee aongee na taifa atoe matumaini mapya kwa nchi yeye haonekani.

Anapenda mpaka awe na jopo la watu wote kufanya uzinduzi wa visima vya shule akiwa live

Ila kuchukua hata saa 1 kuongea na taifa na kutoa matumaini mapya kwa mambo ambayo yanaendelea yenye utata mkubwa hawezi?

Jamani hivi taifa lilipata Rais wa namna gani angalia mambo na matukio ya kisiasa na kiuchumi yaliyotokea mwaka mzima ina maana hayana nguvu ya kutolewa ufafanuzi?

Swala kama la uchaguzi serikali za mitaa hivi taifa lina Rais wa namna gani? bado natafakari.
 
Nigga

Pay dat nigga no mind!
 
Dogo kunywa maji ulale
 
Back
Top Bottom